Top 10 similar words or synonyms for gang

lyte    0.945987

tha    0.943964

squad    0.942344

wanted    0.935390

thugs    0.932243

dirty    0.932097

woman    0.931047

featuring    0.930409

hard    0.930218

mc    0.929192

Top 30 analogous words or synonyms for gang

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Liu Gang Baada ya kupingwa, mwaka 1996 alihamia Marekani. Liu wamemaliza Chuo Kikuu cha Columbia, hasa alichunguza linear programu.
Gang Starr Wakati wa shughuli zao Gang Starr walisaidia kuvumbua sauti ya hip hop ya New York. Matoleo yote ya Gang Starr, hasa "Step in the Arena" (1991), "Daily Operation" (1992) ""Hard to Earn"" (1994) na "Moment of Truth" (1998) zilipata heshima kubwa saana. Wimbo wa "Jazz Thing", uliokuwemo kwenye filamu ya Spike Lee ya "Mo' Better Blues", ilisaidia kuinua sauti ya jazz rap.
Gang Starr Mnamo 1989, kundi likasambaratika na wanachama pekee waliotaka kuliendeleza kundi wakapendekeza jina la Gang Starr, na huyo alikuwa Guru. Baadaye akapata kuwasiliana na DJ Premier (baadaye akajakujulikana kama Waxmaster C) ambaye alimtumia tepu ya biti iliyompendeza Guru. Baada ya kuipata biti, akaona bora amwalike DJ Premier ili aungane na Gang Starr na katika mwaka huohuo wakatoa single yao iliyokwenda kwa jina la "Words I Manifest" ikiwa sambamba na albamu iliyopewa jina la "No More Mr. Nice Guy" (1989).
Liu Gang Liu Gang (amezaliwa 30 Januari 1961) ni mwanahisabati, mwanafizikia, na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchi ya China.
Liu Gang Ni pia kiongozi wa harakati ya kuleta demokrasia nchini China.
Gang Starr Gang Starr lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Kundi linaunganishwa na watu wawili, ambaye ni MC Guru na DJ/mtayarishaji DJ Premier. Kundi hili lilijulikana sana kwa staili ya aina yao, ambayo inajumlisha baadhi ya elementi za hip hop na swing jazz ya New York.
Gang Starr Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1986 na Guru (kisha baadaye akajakujulikana kama Keithy E. The Guru) na DJ 1,2 B-Down (pia anajulikana kama Mike Dee) na watayarishaji kadhaa, kama vile Donald D, J.V. Johnson au DJ Mark the 45 King naye alisaidia kuanzishwa kwa kundi hili. Mnamo 1987 na 1988, Gang Starr wakatoa single ya kwanza iliyofanyika katika studio za Wild Pitch label.
Gang Related (kibwagizo) Baadaye ikatunukiwa hadhi ya Platinum x2 na RIAA. Kibwagizo hiki na vingine viwili (Above The Rim) na (Gridlock'd) vilitolewa na Death Row ikiwa kama kifurushi chenye seti ya CD 4 zilizoitwa The Death Row Archives [The Soundtracks]. Albamu pia inamwonesha rap ya mara ya kwanza ya rapa kutoka Kansas City, Missouri - Tech N9ne.
Gang Related (kibwagizo) Gang Related ni cd maradufu ya sauti iliyotolewa kama kibwagizo cha kwa ajili ya filamu ya "Gang Related". Albamu ilitolewa mnamo tar. 7 Oktoba, 1997, chini ya studio ya Death Row Records na Priority Records. Albamu ina vibao 4 kutoka kwa mwigizaji msanii msaidizi kutoka katika filamu hii, Tupac Shakur. Albamu ilishika nafasi ya #2 kwenye chati za Billboard Top 200, na #1 kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums chart.
Chid Benz Kuna black gang,red gang na blues gang,hayo ndiyo yenye hamasa kubwa.