Top 10 similar words or synonyms for fitzgerald

coles    0.971336

ella    0.971314

reid    0.967573

natasha    0.967255

dwayne    0.966030

diggs    0.965768

alison    0.965444

benny    0.964468

lamont    0.963402

marlon    0.963141

Top 30 analogous words or synonyms for fitzgerald

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Ella Fitzgerald Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold;
Ella Fitzgerald Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.
Ella Fitzgerald Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.
Ella Fitzgerald Ella Fitzgerald (25 Aprili 1917 – 15 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs).
Ella Fitzgerald Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1917 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.
John F. Kennedy John Fitzgerald Kennedy (29 Mei 1917 – 22 Novemba 1963) alikuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 1961 hadi alipouawa.
George Smoot George Fitzgerald Smoot III (amezaliwa 20 Februari, 1945) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza kosmolojia. Mwaka wa 2006, pamoja na John Mather, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Nissan X-Trail Mwaka wa 2006, Nissan ilizindua Toleo la Nissan X-Trail Bonavista, Tangazo la kibiashara likishirikisha muuzaji wa Nisaan akizungumza katika lafudhi ya Newfoundland. [javascript:void(0); ] Tangazo hilo lilikomeshwa baada ya Meya wa Bonavista Betty Fitzgerald alidai lilionyesha kuwa watu katika Bonavista kama watu ambao hawawezi kuongea vizuri. Kuendeleza ukosefu wa lugha katika tangazo hilo, CBC News ilitangaza kuwa jukumu laa uzaaji katika tangazo hilo lilichezwa na mwigizaji kutoka Cape Kibreton
The Way You Look Tonight Mwanamuziki mwingine anayeitwa Billie Holiday pia alirekodi wimbo huu mwaka 1936; mbapo toleo lake linapatikana katika albamu nyingi kama vile "The Quintessential Billie Holiday, Vol.2". Halikadhalika wimbo huu uliimbwa na wanamuziki wengine kama vile, Frank Sinatra, Tony Bennett, Ella Fitzgerald, Michael Bublé, Joey McIntyre, Rod Stewart, Andy Williams, Ray Quil, Kris Allen, Steve Tyrell, James Darren, Harry Connick, Jr., na pia wanamuziki Bing Crosby waliimba wimbo huu kwa kushirikiana.
Tommy Tedesco Tedesco alielezewa na gazeti la "Guitar Player" kama mchezaji gitaa aliyerekodiwa katika nyingi kabisa katika historia, Tedesco alikuwa amerekodiwa katika maelfu na maelfu ya nyimbo. Alirekodi na wanamuziki bora waliokuwa katika eneo la Los Angeles kama "The Beach Boys, The Mamas & Papas, the Everly Brothers, The Association, Barbra Streisand, Elvis Presley, Ella Fitzgerald, Frank Zappa, Sam Cooke, Cher" na "Nancy & Frank Sinatra". Kwa gazeti la"Guitar Player", Tedesco aliandika makala yaliyoitwa "Studio Log".Katika makala hayo, alieleza kazina shughuli alizofanya siku hiyo kama kurekodi kipindi cha televisheni, filamu ama albamu huku akieleza vikwazo walivyokumbana navyo, ala za muziki alizotumia na hela kiasi gani alipata kutoka kazi hiyo.