Top 10 similar words or synonyms for eurasia

piapiac    0.808928

sasabi    0.799348

camelus    0.793516

apis    0.772521

cisticolidae    0.772102

pleismpakacene    0.764108

hystricidae    0.759113

muwati    0.756528

anhinga    0.754130

platysteiridae    0.752545

Top 30 analogous words or synonyms for eurasia

Article Example
Eurasia Eurasia ni jina linalotumika kutaja kwa pamoja nchi zote za Asia na Ulaya. Jina hilo linaunganisha maneno "Europa" na "Asia".
Eurasia Wataalamu wengi wa jiografia wanaona ya kwamba masi ya nchi kavu inayojumlisha Ulaya na Asia ina tabia zote za bara moja na hivyo hutumia jina la "Eurasia". Karibu eneo lote liko juu ya bamba la gandunia lilelile, yaani Bamba la Ulaya-Asia.
Eurasia Hali halisi mabara ya Ulaya na Asia yako pamoja kama nchi kavu mfululizo na hakuna bahari inayoyatenganisha. Kwa hiyo Ulaya na Asia haziitwi mabara kwa sababu za kijiografia bali kwa sababu za kihistoria na za kiutamaduni tu.
Eurasia Desturi hii inatokana na Wagiriki wa Kale waliokuwa watu wa kwanza wa kugawa dunia katika sehemu tatu tofauti (Ulaya, Asia na Afrika) na hivyo kuweka msingi wa ugawaji wa dunia kwa mabara.
Eurasia Tangu kale suala la mpaka kati ya Ulaya na Asia lilikuwa tata na kuna majibu mbalimbali. Wengi hukubaliana ya kwamba mstari unafuata milangobahari ya Dardaneli na Bosporus (nchini Uturuki), mwambao wa Bahari Nyeusi na Bahari Kaspi halafu safu ya milima ya Ural hadi Bahari Aktiki. Lakini kati ya Bahari Nyeusi na Kaspi katika eneo la Kaukasus mawazo hutofautiana sehemu gani ni za Asia na zipi za Ulaya.