Top 10 similar words or synonyms for ethili

methani    0.838729

tambi    0.835883

inayotengenezwa    0.830472

kokwa    0.829248

plumbi    0.820395

ethanoli    0.814389

serotaipu    0.814033

alikoholi    0.813523

projestini    0.812807

alkoholi    0.812708

Top 30 analogous words or synonyms for ethili

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Ethanoli Ethanoli (pia: alkoholi ethili) ni dawa lililopo ndani ya aina zote za vinywaji vya pombe.
Alkoholi Alikoholi zinazotumiwa mara nyingi ni methanoli (au alkoholi methili) na ethanoli (au alkoholi ethili). Zina muundo ufuatao:
Alkoholi Alkoholi zinapatikana kiasili katika kampaundi nyingi. Ethili hutokea kiasili wakati wa kuchachuka kwa matunda au majimaji yenye sukari ikitengenezwa na bakteria za hamira. Kwa lugha nyingine alikoholi ethili hutokea kaisili katika umetaboli ya hamira kwa hiyo inapatikana kia mahali penye bakteria za hamira.
Ambari Ambari ni kitu chenye rangi ya majivu. Inafanywa na nyangumi tumboni. Ina harufu ya kiundongo inapofanywa lakini baada ya wakati hupata harufu tamu kama manukato ya alkoholi ethili. Hutumiwa kwa kutengeneza marashi.
Alkoholi Alkoholi (pia: alikoholi) ni jina kwa kundi la viowevu visivyo na rangi. Neno latumiwa mara nyingi kutaja aina yoyote ya pombe; hali halisi hii ni aina moja kati ya alkoholi mbalimbali ambayo ni alkoholi ethili iliyopo ndani ya aina zote za pombe na kusababisha ulevi.
Jack the Ripper Barua "From Hell" ilipokelewa na George Lusk kiongozi wa kamati ya ulinzi ya Whitechapel tarehe 16 Oktoba 1888. Maandishi hayakufanana na yale ya barua ya "Dear Boss" na postikadi ya "Saucy Jacky". Ilifika pamoja na kisanduku chenye nusu ya figo iliyotunzwa katika alkoholi ethili. Maiti ya Catharine Eddowes ilikutwa tarehe 30 Septemba ilhali figo moja ilikosekana. Mwandishi wa barua aliandika ya kwamba aliwahi kula nusu nyingine ya figo. Ndani ya polisi mawazo yalitofautiana kuhusu kipande cha figo. Wengine waliona ni ya Eddowes, wengine walidhani hii ni mzaha mbaya. Utafiti wa figo ulionyesha kuwa ilikuwa figo la kibinadamu la upande wa kushoto.