Top 10 similar words or synonyms for estrojini

ecm    0.835794

seramu    0.825152

zisizofanana    0.823635

kugandisha    0.816145

vinavyohusishwa    0.812379

viuadudu    0.807135

zikitumia    0.806793

fati    0.805313

agonisti    0.804553

streptokokasi    0.802448

Top 30 analogous words or synonyms for estrojini

Article Example
Ugonjwa wa Cushing Viwango vya juu vya kotisoli jumla vinaweza kusababishwa na estrojini inayopatikana katika dawa za kupanga uzazi zilizo na mchanganyiko wa estrojini na projesteroni. Estrojini inaweza kusababisha ongezeko la kotisoli inayogandisha globulini na hivyo kusababisha jumla ya kiwango cha kotisoli kuongezeka. Hata hivyo, jumla ya kotisoli huria, ambayo ni homoni hai katika mwili, kama ilivyopimwa na mkusanyiko wa mkojo wa masaa 24 kwa kotisoli isio na mkojo, ni kawaida.
Mpango wa uzazi kwa kutumia kiraka Dawa ya kuzuia mimba kiraka ya kipimo cha 20 sentimita ² Ortho Evra iko na 750 μg ethini estradio( na estrojini) na 6,000 μg norelgestromin(projestini)
Norplant Hata hivyo, kwa kuwa Norplant haina estrojini kama ilivyo katika baadhi ya madawa ya kupanga uzazi, wanawake wazee zaidi, wanawake wanaovuta sigara, na wanawake wenye shinikizo la damu hawakatazwi kuitumia.
Maambukizi ya mfumo wa viungo vya mkojo Kwa watu walio na maambukizi yanayojirudiarudia, matumizi ya antibiotiki kwa muda mrefu hunufaisha. Dawa zinazotumika mara nyingi ni pamoja na nitrofurantoin na trimethoprim/sulfamethoxazole. Ikiwa maambukizi yanahusiana na ngono (kujamiana), baadhi ya wanawake hunufaika kwa kutumia antibiotiki baada ya ngono. Kwa wanawake walio katika kipindi cha ukomohedhi, estrojini (aina ya homoni) ya kupakwa ukeni imetambulika kupunguza kurejea kwa maambukizi. Kinyume na malai ya kupakwa, utumizi wa estrojini ya ukeni kutokapesari haujanufaisha inapotumika kama kipimo cha kiwango cha chini cha antibiotiki. Idadi fulani ya chajo zingali zikitengenezwa kufikia mwaka wa 2011.
Thrombosi ya kina cha mishipa Vipengele vya kawaida ya hatari ni upasuaji wa karibuni au kulazwa hospitalini. 40% ya wagonjwa hawa hawakupokea tiba ya heparini ya kuzuia maradhi. Vipengele vingine vya hatari ni pamoja na umri wa makamo, unene wa kupindukia, maambukizi, kutosonga, matumizi ya aina unganishi ya vidonge vya upangaji uzazi vitumiavyo homoni vyenye estrojini, matumizi ya tumbaku na usafiri kwa ndege ("dalili za ugonjwa wa daraja la gharama ya chini", mchanganyiko wa kutoweza kusonga na kuishiwa kiasi kwa maji mwilini) ni baadhi ya vyanzo vinavyojulikana zaidi.Thrombofilia (mwelekeo wa kujitokeza kwa thrombosi) mara nyingi hujionyesha kupitia thrombosi zinazojirudiarudia.
Thrombosi ya kina cha mishipa Historia inapaswa kufanywa kwa makini kwa kuzingatia "sababu za hatari" (tazama hapo chini), ikiwa ni pamoja na matumizi ya vidonge vya upangaji uzazi vyenye estrojini, tukio la karibuni la kusafiri kwa ndege kwa masaa mengi, matumizi ya madawa ya ndani ya mshipa na historia ya uavyaji ghafla (ambao ni kipengele cha matatizo kadhaa ambayo pia yanaweza kusababisha thrombosi). Katika kisa cha kusafiri kwa ndege kwa masaa mengi, uchunguzi wa hivi karibuni umeonyesha kuwa hatari ya kupata DVT ni mkubwa zaidi kwa wasafiri wanaovuta sigara, walio wanene kupindukia, au ambao wanatumia tembe za kupanga uzazi. Historia ya familia inaweza kutambua vipengele vya kurithiwa katika ukuaji wa DVT. Takriban asilimia 35 ya wagonjwa wa DVT wana angalau ugonjwa mmoja uliorithiwa wa kuvilia, ikiwa ni pamoja na upungufu katika vipengele vya kuzuia ugandaji protini C protini S, antithrombini, au ubadilikaji wa kipengele V na jeni za prothrombini.
Thrombosi ya kina cha mishipa Kulingana na triadi ya Virchow, thrombosi ya vena hutokea kwa njia tatu: kupunguka kwa kiwango cha mtiririko wa damu, uharibifu wa ukuta wa mshipa wa damu na kuongezeka kwa mwelekeo wa kuganda kwa damu (ugandajiwa kupita kiasi wa damu). Hali kadhaa za kiafya zinaweza kusababisha DVT, kama vile mgadamizo wa vena, kiwewe cha mwili, kansa, maambukizi, baadhi ya magonjwa ya kuvimba na hali maalum kama vile kiharusi, kusita kwa moyo au ugonjwa wa nefrosi. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata DVT, ikiwa ni pamoja na upasuaji, kulazwa hospitalini, kusimamishwa (kwa mfano wakati maganda ya mfupa yanapotumika, au kusafiri kwa ndege kwa masaa mengi, kunakosababisha dalili za ugonjwa wa daraja la gharama ya chini), kuvuta sigara, unene wa kupindukia, umri, madawa fulani (kama vile estrojini au erythropoietini) na mielekeo ya asili ya kuganda kwa damu inayojulikana kama ugonjwa wa kuvilia (kwa mfano, kwa waenezaji wa kipengele V Leiden). Wanawake wana hatari zaidi wakati wa ujauzito na katika kipindi cha baada ya kuzaa.