Top 10 similar words or synonyms for errol

orson    0.956360

schubert    0.954056

brewster    0.952329

marlene    0.948979

dizzy    0.948798

oates    0.948658

alison    0.948418

imaginary    0.948183

stoker    0.947065

strauss    0.946760

Top 30 analogous words or synonyms for errol

Article Example
Errol Barnett Tangu alipojiunga na CNN mwaka 2008, Barnett amekuwa akitumia jamii hata akiripoti habari zenye umuhimu kama vita vya baada ya uchaguzi wa Iran; mabomu ya kigaidi mjini Jakarta; mtetemeko wa ardhi iliyotokea L'Aquila; ajali ya ndege ya Kituruki karibu na Amsterdam; na vita baina ya Israel na Gaza iliyotokea hapo mapema mwaka 2009.
Errol Barnett Ametambulika kama "Power 30 Under 30" na
Errol Barnett Atlanta's Apex society. Barnett ametangaza habari za aina mbalimbali akiwa CNN kama vile maendeleo ya sheria ya kupambana na uharamia nchini Ufaransa na Uingereza; mtazamo wa watu kote duniani kuhusu kushinda kwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Tuzo la Amani la Nobel 2009; na uchaguzi wa rais katika Israeli, Afghanistan na Afrika Kusini. Sehemu za taarifa za habari anazotangazwa zinapatikana kwa CNN.com
Errol Barnett Errol alizaliwa mjini Milton Keynes, Uingereza, wazazi wake ni Pamela na Michael Christie. Yeye ana kaka mmoja mkubwa, aitwaye Danny Christie. Mamake aliolewa na Gary Barnett baadaye, aliyekuwa akifanya kazi kama jeshi wa US Air Force, ambayo iko nchini Uingereza na baadaye alihudumu katika Vita vya Gulf. Familia yote ilihamia Phoenix, Arizona mwaka 1993. Errol alihudhuria Shule ya Msingi ya Garden Lakes na Shule ya Upili ya Westview kabla ya kuajiriwa naChannel One News.
Errol Barnett Barnett alipokea shahada yake ya sanaa ya siasa kwa lengo la mahusiano ya kimataifa kutoka UCLA na alikuwa mwanachama wa Kappa Alpha Psi. Yeye aliwekwa kwenye gazeti la "The Daily Bruin" mwezi Aprili 2007 na kufuzu Juni 2008 Wakati alipokuwa mwanafunzi wa UCLA alifanya kazi kama mwanahabari na mtangazaji mkuu wa ReelzChannel. Mwezi Julai 2008 Barnett alitangaza kwenye "Dailies" kwamba amaondoka hapo na atajiunga na CNN International.