Top 10 similar words or synonyms for emden

comté    0.906197

hopa    0.902569

sassari    0.901310

judah    0.895703

montevideo    0.894365

crispolti    0.890303

bergisch    0.889943

tempe    0.889839

odilo    0.888812

franche    0.888091

Top 30 analogous words or synonyms for emden

Article Example
Emden Emden ni mji na pia bandari iliyoko kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani, katika mto Ems. Ni mji mkuu wa mkoa wa Frisia ya Mashariki. Hadi mwaka 2006, mji ulikuwa na wakazi wapatao 51,692.
Mitazamo ya Kiyahudi juu ya Yesu Siku hizi kuna wataalamu Wayahudi wanaosema Yesu alikuwa jirani na dini yao kuliko Injili zinavyoonyesha. Mtazamo huo ulianzishwa katika karne ya 18 na Jacob Emden na Moses Mendelssohn.
Wolfgang Petersen Wolfgang Petersen alizaliwa wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mnamo tarehe 14 Machi katika mwaka wa 1941 katika kitongoji kidogo cha Emden-kaskazini mwa Ujerumani karibu kidogo na mpaka wa Dutch, mahali ambapo maji ya Mto Ems yanamwagikia katika Bahari ya Kaskazini. Kuanzia mwaka 1953 mpaka 1960 Petersen alihitimu eleimu yake ya msingi katika shule ya Johanneum ya mjini Hamburg.
Wolfgang Petersen Wolfgang Petersen (amezaliwa tar. 14 Machi 1941 mjini Emden, Lower Saxony, Ujerumani) ni mshindi wa Tuzo ya Academy, akiwa kama mwongozaji bora filamu wa Kijerumani. Anafahamika zaidi kwa kuongoza filamu ya kivita ya Das Boot ambayo ilimfanya ashinde Tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1982. Petersen pia ameongoza filamu nyingi tu zilizo maarafu kama vile Outbreak, In the Line of Fire, Air Force One, The Perfect Storm na Troy.