Top 10 similar words or synonyms for educational

research    0.943487

programme    0.936808

environmental    0.935677

science    0.933340

relations    0.930044

commission    0.929963

economic    0.929536

social    0.922964

promoting    0.918078

food    0.917853

Top 30 analogous words or synonyms for educational

Article Example
Sosholojia ya elimu Makala kuu ya: Educational psychology
Sosholojia ya elimu Makala kuu ya: Educational technology
Chuo cha Mt. Petro, Auckland Kitaaluma, shule inatoa masomo yanayolengea "National Certificate of Educational Achievement" (Cheti cha Kitaifa cha Kuhitimu Katika Masomo) na "Cambridge International Examinations" (Mitihani ya Kitaifa ya Cambridge).
UNESCO UNESCO ni kifupisho cha United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization yaani Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa.
UNESCO-IHE UNESCO-IHE ni kifupi cha "United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization - Institute for Hydrological Education", au Taasisi ya Elimu ya Maji ya UNESCO.
Chuo Kikuu cha Strathmore Chuo Kikuu cha Strathmore ni chuo cha kibinafsi mjini Nairobi, Kenya. Chuo cha Strathmore kilianzishwa mwaka wa 1961, kama chuo cha kiwango cha sita kinachofunza sayansi na sanaa za masomo, na kundi la wataalamu ambao walianzisha Hisani ya Kielimu inayoaminika sasa (Strathmore Educational Trust). Mtakatifu Josemaría Escrivá, mwanzilishi wa Opus Dei, aliwaongoza na kuwapa moyo kuanzisha chuo hicho hiyo.
Elimu Barani Afrika, shirika la NEPAD limezindua programu ya masomo ya mtandao inayotoa vifaa vya kompyuta na masomo ya mtandao kwa shule zote za msingi na upili kwa kipindi cha miaka kumi. Vikundi vya binafsi kama vile Wamormoni, wanajikakamua kuwapa watu fursa ya kupokea elimu katika nchi zinazoendelea kupitia miradi kama vile Perpetual Educational Fund. Mradi wa maendeleo kimataifa inayofahamika kama nabuur.com, com iliyoanza kwa msaada wa rais wa Marekani Bill Clinton, hutumia mtandao kuwezesha ushirikiano wa watu binafsi kuzungumzia maswala ya maendeleo ya jamii.
Juan Carlos Tedesco Tedesco aliteuliwa kama mtaalamu katika sera za elimu katika mwaka wa 1976 katika Mpango wa Maendeleo katika eneo la Amerika ya Kilatini wa UNESCO. Alikuwa mkurugenzi wa Kituo cha Eneo la Amerika ya Kilatini cha Elimu ya daraja la juu.Kituo hiki kilikuwa cha UNESCO huko Caracas, Tedesco alifanya kazi huko katika miaka ya 1982 hadi 1986 na akawa mkurugenzi wa Kituo cha Elimu Cha Eneo hilo mjini Santiago katika miaka ya 1986 hadi 1992. Mateso na ukandamizaji wa walimu na wanafunzi nchini Argentina katika miaka ya udikteta ilimfanya Tedesco kushiriki katika uandishi wa kitabu cha kutatua shida hiyo,"The Authoritarian Educational Agenda",akikiandika na Cecilia Braslavsky katika mwaka wa 1983.
Sosholojia ya elimu Barani Afrika, shirika la NEPAD limezindua programu ya masomo ya mtandao inayotoa vifaa vya kompyuta na masomo ya mtandao kwa shule zote za msingi na upili kwa kipindi cha miaka kumi. Vikundi vya kibinafsi kama vile The Church Of Jesus Christ Of Latter Days Saints, wanajikakamua kuwapa watu fursa ya kupokea elimu katika nchi zinazoendelea kupitia miradi kama vile Perpetual Educational Fund. Mradi wa maendeleo kimataifa inayofahamika kama nabuur.com, com iliyoanza kutokana na usaidizi wa raisi wa Marekani Bill Clinton, hutumia mtandao kuwezesha ushirikiano wa watu binafsi kuzungumzia maswala ya maendeleo ya jamii.
Francis Imbuga Imbuga alisomea swala la "The Techniques of Improvised Drama" kwa shahada yake ya Masters .Kwa udhamini wa UNESCO kati ya miaka za 1974 na 1975 ,alipata kuzuru Idara ya Uigizaji (Drama Department ) ya University College, Cardiff;Taasisi ya Masomo ya Kiafrika (Institute of African Studies) katika Chuo Kikuu cha Ghana, Legon; na Idara ya Sanaa ya Uigizaji (Department of Theatre Arts) katika Chuo Kikuu cha Ibadan, Nigeria. Mwaka wa 1976, Imbuga aliteuliwa kama mkufunzi katika Idara ya Mawasiliano ya Elimu na Teknolijia (Department of Educational Communication and Technology) katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Alihamia mwaka wa 1978 Chuo Kikuu cha Kenyatta, na kupanda ngazi hadi kuwa Mkufunzi Mkuu na kuteuliwa Mkuu wa Idara ya Fasihi ya Kingereza (Department of Literature).