Top 10 similar words or synonyms for doo

happy    0.958010

hello    0.956312

smile    0.955107

shrek    0.954741

dawg    0.952684

minds    0.952219

feeling    0.952081

cry    0.950733

redman    0.950222

trouble    0.949633

Top 30 analogous words or synonyms for doo

Article Example
Kidaho-Doo Kidaho-Doo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wadaho na Wadoo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kidaho-Doo imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaho-Doo iko katika kundi la Kikru.
Cartoon Network (Bulgaria) The Scooby Doo , Skunk Fu, Camp Lazlo, Ladies Socky Chooks na My Gym Partner's a Monkey. Wakati wa Kipengele hiki vipindi vyote (isipokuwa Camp Lazlo) huonyeshwa angalau mara mbili. Chowder na Scooby Doo huonyeshwa mara tatu.
Shaggy (msanii) Shaggy aliimba tena wimbo mnadhari katika kipindi cha Scooby-Doo ulioitwa "Shaggy, Where Are You?".
Shaggy (msanii) Orville Richard Burrell (alizaliwa 22 Oktoba 1968, Kingston, Jamaika), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Shaggy, ni mshindi wa Grammy Award kama mwimbaji wa reggae ya Jamaika-Amerika ambapo asili ya jina lake la kisanii ni kutoka rafiki wa Scooby-Doo -jina alilopewa na marafiki zake wakati wake miaka ya utotoni kwa sababu jina lake lilikuwa sawa na tabia za Scooby Doo . Yeye ni mashuhuri hasa kwa sauti yake ya iliyogwara .
The Supremes Awali lilianzishwa likiwa na jina la The Primettes huko mjini Detroit, Michigan, kunako 1959, midundo yao The Supremes ilikuwa pamoja na doo-wop, pop, soul, tuni za maonesho ya Broadway, psychedelic soul, na disco. Lilikuwa kundi lililopata mafanikio makubwa kibiashara kwa Motown, hadi leo, kundi la Kimarekani lililopata mafanikio zaidi likiwa na vibao 12 vilivyoshika nafasi ya kwanza kwenye chati za "Billboard" Hot 100.
Hot R&B/Hip-Hop Songs Chati hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 1942, inatumika kufuatilia mafanikio ya nyimbo maarufu katika maeneo ya mijini, au hasa kumbi za wale Waafrika-Waamerika. Ilifunika kwa miaka mingi kwenye aina ya muziki mbalimbali kama vile jazz, rhythm na blues, rock and roll, doo wop, soul, na funk, na leo hii imefunikwa na contemporary R&B na hip hop.
William Hanna William Denby "Bill" Hanna (14 Julai 1910 – 22 Machi 2001) alikuwa mwundaji wa vikatuni, mwongozaji, mtaarishaji, na mwanzilishi-mshirilki, pamoja na Joseph Barbera, wa Hanna-Barbera studio kutoka nchini Marekani. Studio ya Hanna-Barbera imaetaarisha katuni nyingi tu maarufu, ikiwemo ile ya "The Huckleberry Hound Show", "The Flintstones", "The Jetsons", "Scooby-Doo vile vile muziki wa filamu, Charlotte's Web.
Lucky Dube Lucky Philip Dube (tamka "doo-bei)" (3 Agosti 1964 - 18 Oktoba 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha miaka 25-na alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutoka Afrika Kusini ambaye aliuza albamu nyingi kabisa. Dube aliuawa katika kitongoji cha Rosettenville huko Johannesburg jioni ya 18 Oktoba, mwaka 2007.
Uptown Girl Aina ya muziki huu, ikiwa ni pamoja na aina ijulikanayo kwa midundo ya doo-wop ilipendwa sana na mwanamuzi Joel aliyekuwa akiimba kwa kutumia staili ya falsettona pia ni staili iliyotumika na Frankie Valli na kundi la The four Seasons Group. Wimbo huu pia umekuwa ukionekana kubalisha noti zake za muziki mara mbili tangu wimbo wake halisi ulipotoka
D'banj Albamu ya kwanza ya D'banj, "No Long Thing", ilitolewa mwaka 2005, ikiwa na nyimbo kadhaa, pamoja na "Tongolo" kama wimbo maarufu. Hii ilionekana kuwa wimbo wa kumpatia ustawi na umaarufu. Pia ilimpatia ubinafsi wa Koko Master neno Koko likiwa na maana kadhaa. Mafanikio ya D'banj yaliwezesha mashirikiano na wasanii wawili, kama vile katika albamu ya Dare Art-Alade, kuna wimbo ya "escalade Part 2" na pia wimbo katika albamu ya Ikechukwu, uitwao "Doo."