Top 10 similar words or synonyms for decoras

inayotia    0.677138

unasemaje    0.674894

yoh    0.671218

ipitayo    0.670416

zangu    0.668422

mwanao    0.668205

amina    0.665913

wangu    0.662247

wapi    0.659931

msikilizaji    0.657994

Top 30 analogous words or synonyms for decoras

Article Example
Neema Decoras Katika studio hiyo alifanikiwa kurekodi na kutoa albamu yake ya kwanza mwezi Julai mwaka wa 2013. Albamu hiyo iitwayo “Milele Nitalisifu Jina Lako” ina nyimbo nane ambazo zote ameziimba kwa lugha ya Kiswahili. Nyimbo zilizomo katika albamu hiyo ni; Milele Nitalisifu Jina Lako, Mikononi mwa Mungu, Unapojaribiwa, Nione Leo, Mungu ni Mwema, Rejea kwa Yesu, Ninaimba Sifa na Hakika Nimejua.
Neema Decoras Mnamo January mwaka wa 2013 mume wake alimpeleka kwa mtayarishaji wa muziki aitwaye Ambangile Mbwanji anayejulikana sana kama Amba ambaye ni mmiliki wa studio iitwayo Amba Records iliyoko Ukonga, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Neema Decoras Kwa sasa Neema Decoras anaishi jijini Dar es Salaam ambapo amefanya maonyesho yake mengi sana japo yuko tayari kutumika katika Ibada, Matamasha na Mikutano ya Injili, Semina, Sherehe, na matukio mbalimbali ambayo yanahubiri Neno la Mungu popote pale ndani na nje ya Tanzania.
Neema Decoras Neema Decoras aliendelea na huduma ya uimbaji katika kipindi chote alichokuwa akisoma, kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Akiwa anachukua elimu ya sekondari alikuwa mwanachama na mwalimu wa kwaya ya Christ's Ambassadors Students Fellowship Tanzania (CASFETA) katika shule yake na muimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu katika kikundi cha kusifu na kuabudu na Kwaya ya Tumaini ya Kanisa La Pentekoste Tanzania (KLPT). Ni katika kipindi hicho ndipo alipoanza kuwa na haja ya kukitumia kipawa cha uimbaji na utunzi wa nyimbo na kufanya huduma ya uimbaji kama muimbaji wa kujitegemea.
Neema Decoras Haja ya kuwa muimbaji wa kujitegemea ilianza kutimia mwishoni mwa mwaka wa 2012 Neema Decoras alipofanikiwa kurekodi wimbo wake uitwao “Mungu ni Mwema” katika studio iitwayo Twins Records iliyopo Riverside, Ubungo jijini Dar es Salaam chini ya mtayarishaji wa muziki aitwaye Gabriel Maulana.