Top 10 similar words or synonyms for cultural

political    0.967024

social    0.959828

study    0.958446

publication    0.955607

religious    0.953350

foreign    0.950090

understanding    0.949385

diversity    0.948642

comparative    0.948045

survey    0.946035

Top 30 analogous words or synonyms for cultural

Article Example
UNESCO UNESCO ni kifupisho cha United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization yaani Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa.
UNESCO-IHE UNESCO-IHE ni kifupi cha "United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization - Institute for Hydrological Education", au Taasisi ya Elimu ya Maji ya UNESCO.
Sherehe ya Utamaduni ya Wamaragoli Sherehe hii huandaliwa na Vihiga Cultural Society. Patron wa kwanza alikuwa Moses Mudavadi, babake mmoja wa waziri wawili wakuu wasaidizi wa nchi ya Kenya Musalia Mudavadi.
Utamaduni Kutokana na athari ya watu kama Karl Marx, Emile Durkheim na Max Weber, aina hii ya sosholojia ilitokea kwanza Ujerumani (1918–1933), ambapo wataalamu kama Alfred Weber walitunga neno "Kultursoziologie" (kwa Kiingereza cultural sociology), halafu katika nchi za lugha ya Kiingereza, hasa miaka ya 1960.
Utamaduni Milinganisho hii ilichangia kuzua nadharia ya Udarwin wa kijamii (Social Darwinism) ya Herhert Spencer na Maendeleo ya utamaduni (Cultural evolution) ya Lewis Henry Morgan. Jinsi baadhi ya wakosoaji wanavyosema, kutofautisha tamaduni za juu na za chini kwa kweli ni usemi wa mgogoro kati ya wasomi wa Ulaya na wasio wasomi, na kutofautisha watu wastaarabu na wasio wastaarabu kwa kweli ni usemi wa mgogoro kati ya madola ya kikoloni ya Ulaya na watawaliwa wao.
Zachary Levi Levi, mtoto wa kati baina ya dada zake wawili waliomtangulia kuzaliwa, alizaliwa mjini Lake Charles, Louisiana, na Bi. Susy na Darrell Pugh. Levi ana asili ya Kiwelisi-Kimarekani.Akiwa mtoto, famili yake imehama mahali chungumzima nchini humo kabla ya kufanya makazi yao ya mwisho huko mjini Ventura, California, ambapo Levi alijiunga katika shule ya Buena High School kwa muda wa miaka minne. Ameanza kuigiza katika tamthilia akiwa na umri wa miaka 6, akicheza nyusika kuu katika matayarisho ya kikanda kama vile "Grease", "The Outsiders", "Oliver", "The Wizard of Oz" na "Big River" katika Simi Valley Cultural Arts Center.
Utamaduni Nchini Uingereza, wanasosholojia na wasomi wengine walioathiriwa na Umarx, kama vile Stuart Hall na Raymond Williams, walianzisha mafunzo ya kitamaduni. Wakifuata nyayo za Walimbwende wa karne ya 19 walihusisha utamaduni na matumizi ya bidhaa na mambo ya ziada (kama vile sanaa, muziki, filamu, chakula, michezo na mavazi). Hata hivyo walielewa mitindo ya kula na ya anasa inaamuliwa na mahusiano ya uzalishaji ambayo iliwafanya kuangazia zaidi mahusiano ya kitabaka na mpangilio wa uzalishaji. Nchini Marekani mafunzo ya kitamaduni yaliangazia pakubwa juu ya uchunguzi wa utamaduni pendwa yaani maana ya kijamii ya uzalishaji kwa wingi wa bidhaa za matumizi na anasa. Dhana hii ilibuniwa na Richard Hggart mnamo mwaka wa 1964 alipoanzisha mjini Birmingham Kituo cha mafunzo ya kisasa ya kitamaduni.(Centre for Contemporary Cultural Studies/CCCS).Tokea hapo kituo hicho kimehusishwa sana na Stuart Hall ambaye alichukua mahali pa Hoggart kama mkurugenzi.
Awilo Longomba Mnamo mwaka wa 2008 Awilo Longomba alitoa albamu mpya, SUPER-MAN, ambayo ilikuwa fanikio nyingine kubwa. Awilo aliendelea na umaarufu wake nchini Marekani / Kanada huku akiwa katika ziara pamoja na Nabtry International Cultural Dancers (kundi la kitamaduni la kimataifa la kusakata au kucheza ngoma) kundi ya Kiafrika ya kucheza ngoma iliyoanzishwa mwaka wa 2007 na Grace Haukwa. Ziara ya SUPER-MAN ilikuwa yenye mafanikio makuu miaka za 2008 na 2009. Kutokana na kura za umaarufu na ushindi wa kihistoria katika Tuzo za Reggae ya Kimataifa na Muziki wa ulimwengu huku nchi zaidi ya 120 zikipiga kura, albamu mpya ya Awilo, SUPER-MAN, ilishinda TUZO LA MTUMBUIZAJI BORA WA SOUKOUS WA MWAKA WA 2009. Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa Nabtry GRACE HAUKWA ambaye anamwakilisha Awilo nchini USA alikuwepo kupokea tuzo hilo kwa niaba ya Awilo katika sherehe ya Tuzo za Reggae ya Kimataifa na Muziki wa ulimwengu.
Zavara Mponjika Baada ya maazimio, huyo mtu wa kuitwa Tikko haraka kaenda kuchongesha mafulana na watu walikuwa na hamasa ya juu hakuna mfanowe. Tikko ndiye hasa aliyekuwa anawaletea rekodi za kigeni wakati huo kwa sababu yeye kuna kipindi alikuwa anasoma mjini Londo, Uingereza. Baba yake Tikko alikuwa anamiliki kampuni ya uchanpishaji wakati huo ilikuwa inaitwa "Impreasions". Jambo hili liliwaleta pamoja vijana ili waweze kupaza sauti yao katika jamii. Kila mtu alikuwa hodari katika nafasi yake. Awali walianza kwa kuimba kwa lugha ya kigeni, lakini polepole walianza kubadili mundo na kuja kwa Kiswahili. Mtu aliyeonekana kusapoti na kufanya vizuri katika Kiswahili wakati wa zama za mpito alikuwa Fresh G.  wa Tribe X alilokuwa nae Eazy B mbaya sana wa michano nae wakati huo. Inasemekana Eazy B alikuwa na floo za ajabu na uwezo wa kutunga mashairi makali yenye ujumbe mzito hakuna mfano. Mwingine D-Ray B (jina la kuzaliwa Raymond Mutagahywa - huyu wengi wanamsahau mno). Alikuwa mwandishi mzuri mno. Akina Othman Njaidi. Mwaka wa 1992, kundi likazinduliwa rasmi katika ukumbi wa Korean Cultural Center huku likiwa na usajili kamili. Na ni miongoni mwa makundi ya awali kabisa kusajiliwa rasmi - na usajili wao hadi leo uko hai pale BASATA. Vilvile Kwanza Unit ndiyo kundi la kwanza kwenda Unguja na kutumbuiza hip hop. Wao walitoa hamasa kwa vijana wa Unguja katika kujihusisha na hip-hop. Ajabu iliyoje, mlezi wa kundi hili wakati huo alikuwa Horice Kolimba. Aliwaunga mkono kwa kila hali.
Utamaduni Nako nchini Marekani Lindlof na Taylor wanasema ya kwamba mafunzo ya kitamaduni yalikitwa katika utamaduni wa kiprigmatiki wa uliberali wa wingi". Aina ya mafunzo ya utamaduni ya Marekani mwanzoni yalijihusisha zaidi na kuelewa namna hadhira ingechukulia matumizi ya utamaduni wa umati.Kwa mfano wakereketwa wa mafunzo ya utamaduni Marekani waliandika kuhusu vipengele vya kiliberali vya fandom. Tofauti baina ya mitazamo ya Marekani na Uingereza sasa imefifia. Watafiti wengine hasa katika mafunzo ya mwanzoni ya utamaduni Uingereza wanatumia ruwaza za kimarx katika taaluma hii. Huu mtindo wa kufikiria una athari kutoka kwa Shule ya Frankfurt,lakini athari kubwa inatoka kwa umarx muundo wa Louis Althusser na wengineo. Mkazo wa umarx asili ni juu ya maana ya "uzalishaji" . Ruwaza hii huchukua uzalishaji kwa wingi na hutambua uwezo/mamlaka huwa miongoni mwa wale wanaotoa sanaa baki. Katika mtazamo wa kimarx,wale wanaothibiti njia za uzalishaji ("msingi" wa uchumi) kimsingi ndiyo hutawala utamaduni. Mielekeo mingine kuhusu mafunzo ya utamaduni kama vile mafunzo ya ufeministi ya utamaduni,na maendeleo ya kimarekani katika taaluma yanajitenga na wazo hili. Wanashutumu umarx kwa maana moja ya utamaduni ambayo inaaminiwa na wote. Mielekeo isiyo ya umarx inapendekeza njia mbalimbali za kushughulikia utamaduni wa sanaa-baki huathiri maana ya zao. Wazo hili linaelezewa vizuri katika kitabu cha Paul du Gay na wengine, "Doing Cultural Studies: The case of Sony Walkman", ambacho kinapinga wazo kwamba wale wanaozalisha bidhaa huthibiti maana ambazo watu huhusisha nazo. Mchanganuzi wa kifeministi wa utamaduni, mwananadharia na mwanahistoria wa sanaa Griselda Pollock alichangia katika mafunzo ya utamaduni akitumia mitazamo ya sanaa historia,saikolojiachanganuzi. Mwandishi Julia Kristeva ana ushawishi mkubwa akichangia kwa mafunzo ya kitamaduni kupitia taaluma za sanaa na saikolojia changanuzi ya ufeministi wa Kifaransa.