Top 10 similar words or synonyms for crew

stretch    0.906794

kane    0.906692

doo    0.905070

mobb    0.900090

robot    0.899952

dynamite    0.896573

evil    0.896147

heavy    0.895597

factory    0.894855

guest    0.894615

Top 30 analogous words or synonyms for crew

Article Example
Professor Jay Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 1990 na alijiunga na kundi la 'Hard Blasters Crew' (HBC) mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania.
Xzibit Xzibit alikuwa kama mwanachama flani hivi wa kundi la "the Likwit Crew", Pia hao ni moja kati ya wanachama wa "West Coast rappers", akiwemo Tha Alkaholiks na King T.
Tommy Tedesco Tedesco, pamoja na wanamuziki wenzake wengi wa studio,walihusika katika filamu ya dakika 95 ya 2008 "The Wrecking Crew" iliyoundwa na mwana wake, Danny Tedesco. Filamu hii imeonyeshwa katika matamasha kadhaa lakini bado haijatolewa kibiashara.
Bermuda Triangle Nyongeza kwa siri, na kutafuta na kuokoa Mariner ndege na 13-mtu crew mara dispatched na misaada ya missing Squadron, lakini kamwe Mariner yenyewe mara alisikia kutoka tena. Baadaye, kulikuwa na taarifa kutoka Tanker Cruising off pwani ya Florida wa kinachoonekana mlipuko saa kuhusu wakati Mariner ingekuwa juu ya doria.
Kwanza Unit Kwanza Unit (vilevile KU Crew) lilikuwa kundi la mwanzo kabisa la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1990 kwa muunganiko wa makundi kadhaa na wasanii wa rap. Awali walikuwa wanarap kwa Kiingereza, lakini baadaye wakawa wanatumia Kiswahili vilevile.
Bebe Cool Pamoja na waimbaji wawili waKenya Necessary Noize, Bebe Cool ameunda kikundi cha reggae kinachojulikana kama East African Bashment Crew. Wametoa albamu moja, "Fire," na nyimbo mbili, "Africa Unite" na "Fire". Kundi hili limeteuliwa katika uzinduzi wa (2008) MTV Africa Music Awards
Professor Jay Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Professor Jay. Katika Tanzania anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee wasikilize muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew - Chemsha Bongo. Kundi hilo ni moja ya makundi yaliyofanya muziki hup, ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya', kukubaliwa na sehemu kubwa ya Watanzania.
Kool G Rap Nathaniel Thomas Wilson (amezaliwa tar. 20 Julai 1968), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kool G Rap (au kwa kifupi huitwa G Rap), Kool G. Rap, na Giancana (Maana ya kifupisho cha ""G.""), ni rappa, kutoka mjini Corona jirani na mji wa Queens, New York huko nchini Marekani. Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na DJ Polo na pia akiwa kama mwanachama wa Juice Crew.
Pras Pras alizaliwa mjini Haiti na kukulia mjini Brooklyn,New York na South Orange, New Jersey, Pras ni mkulima wa muziki toka awali. Akiwa na umri wa maiaka kumi na tatu, Pras alikutana na Lauryn Hill akiwa na umri wa miaka 12, Lauryn ni mwimbaji aliye na kipaji na sauti nzuri, Pras aliligundua hilo mwanzo tu wa kukutana nae. Mnamo mwaka wa 1988, Pras alimtamblisha Lauryn kwa "binamu yake", Wyclef Jean, na baadae wakaja kuunda kundi la muziki liloitwa Tranzlator Crew. Kundi baadae lilibadilshwa jina na kuitwa The Fugees, kama kumbu kumbu kwa wakimbizi wa Haiti waliotelekezwa katika kutaka kupita katika bahari ya Marekani.
Ramiro Corrales Corrales hakucheza soka akiwa chuo kikuu,bali alitia saini mkataba na timu ya California Jaguars wa ligi ya USISL. Alianza kucheza kama mchezaji bora na akorodheshwa katika Orodha ya 1996 Ligi Kuu ya Soka ya Marekani.Hii ilikuwa kabla kuja kwa Project-40,hivyo basi Corrales akaacha nafasi ya kupewa udhamini wa kusoma katika chuo kikuu. Corrales aliorodheshwa kama # 81 na timu ya Columbus Crew lakini akauzwa mara iyo hiyo kwa timu ya San Jose Clash(iliyokuja kuitwa "Earthquakes" baadaye) katika mkondo wa pili wa uchaguzi katika orodha ya wachezaji wa Ligi Kuu ya Soka ya Marekani.