Top 10 similar words or synonyms for collège

alihamishiwa    0.781200

theolojia    0.772020

akifundisha    0.760702

aliposhiriki    0.745199

akapadrishwa    0.742448

supérieure    0.740663

kwame    0.740296

potente    0.738885

upadirisho    0.734030

alihama    0.731201

Top 30 analogous words or synonyms for collège

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Raymond Aaron Baada ya vita kumalizika, Aron alirejea Paris kwa ajili ya kufundisha Sosholojia katika chuo cha École Nationale d'Administration na baadae Paris Institute of Political Studies. Hii ikiwa ni kati ya mwaka 1955 hadi 1968. Baadaye alienda kufundisha katika chuo kilichofahamika kama Sorbonne, na ilipofikia mwaka 1970, alihamia katika Collège de France.
Maximilien Robespierre Tayari kusoma na umri wa miaka 8, Maximilien alianza kuhudhuria chuo kikuu (shule ya kati) ya Arras. [10] Mnamo Oktoba 1769, juu ya mapendekezo ya askofu, alipata ushindi katika Chuo Kikuu cha Paris huko Paris, Collège Louis-le-Grand. Robespierre alisoma huko mpaka umri wa miaka 23, akipokea mafunzo yake kama mwanasheria. Baada ya kuhitimu, alipata tuzo maalum ya pesa 600 kwa miaka kumi na miwili ya mafanikio ya kitaaluma na tabia nzuri ya kibinafsi. [13]
Charles Andler Andler alizaliwa katika familia ya kiprotestanti katika jiji la Strasbourg. Mwaka 1887 hadi 1888, Andler alishindwa kufikia mafanikio ya juu katika falsafa, maamuzi yaliyofikiwa na Jules Lachelier. ambaye alikuwa ni msimamizi na mkaguzi wa maswala ya falsafa, ambaye toka awali alionekana kuwa na mtazamo hasi juu ya filosofia ya Kijerumani. Baadae alibadilisha maamuzi ya kuchukua masomo ya falsafa ya ujerumani suala lililompelea kufaului katika kiwango cha juu kabisa katika darasa lakel. Hatimaye Andler alifanikiwa kuwa profesa wa Kijerumani katika Sorbonne hii ikiwa mwaka 1901 na baadae chuo cha Collège de France mwaka 1926.
Antananarivo Mji huu ulitekwa na Wafaransa mwaka wa 1895 na kuwekwa kwa koloni ya eneo ya Madagaska. Kutoka ukoloni wa ufaransa barabara njema zilitengenezwa kwa mji, ngazi pana za kupaa kwa eneo ya mabonde zimeunganisha sehemu zile ziko kwa ukwea zaidi na ziwezi kuundwa barabara za kawaida, na sehemu ya kati inayoitwa "Andohalo", ni sehemu nzuri sana, ambayo inajia za kutembea na daraja za ukwea ambazo ni shamba za maua na miti. Hifadhi zimewekwa karibu na makazi ya watu, na upandaji wa miti na mashamba ya uhifadhi eneo nyingi za mji zaipatia mji urembo na utulifu. Maji ya patikana kwa chemchem chini ya milima lakini maji mengi yatoka kwa mto Ikopa, ambao mto huo wapitia kando ya Mji kusini na magharibi. Mji wenyewe umelindwa na Vigome viwili ambazo zilijengwa kwa mlima mashariki na kusini-magharibi. Pia kathidro ya Anglikani na katoliki ya kiroma, kuna Kanisa zaidi ya hamsini mjini na eneo za mji, na hata Miskiti za kiislamu. Antananarivo ni nyumbani kwa Chuo Kikuu cha Madagascar na Chuo cha Ambatobe (Collège Rural d'Ambatobe).