Top 10 similar words or synonyms for chumapua

hidrokaboni    0.866063

peptidi    0.864482

kalisi    0.852707

spana    0.851424

transista    0.840249

iridi    0.833939

sakiti    0.833849

projestini    0.831785

oksidi    0.830646

tofasi    0.829439

Top 30 analogous words or synonyms for chumapua

Article Example
Chuma cha pua Kutengenezwa kwa chumapua kulikuwa sanaa ya pekee kwa karne nyingi. Silaha kama panga za chumapua zilikuwa bora kushinda panga za chuma cha kawaida. Vilevile vifaa kama visu hata jembe vilidumu kama vilitengenezwa kwa chumapua. Wahunzi walipeana mbinu za kutengeneza chumapua kama siri.
Chuma cha pua Mnara wa Eifel ulikuwa jengo kubwa la kwanza lililoundwa na chumapua pekee. Meli za chumapua zilichukua nafasi ya jahazi za awali za ubao.
Chuma cha pua Tangu 1610 viwanda katika Uingereza vilianza kutengeneza chumapua kwa vingi ikaboreshwa katika miaka 100 iliyofuata. Mbinu huo ulikuwa msingi wa maendleo ya Uingereza juu ya mataifa mengi mengine katika mapinduzi wa viwandani. Mashine zote zilitengenezwa kwa chumapua.
Chuma cha pua Tabia za chumapua hutegemea na kiasi cha kaboni ndani yake. Kiasi kikubwa cha kaboni husabibisha aloi kuwa ngumu zaidi lakini inavunjika kirahisi pia. Kiasi kidogo cha kaboni husababisha chumapua kuwa laini zaidi lakini inanapukia zaidi.
Chuma cha pua Chumapua cha kawaida huhitaji kiinga dhidi ya kutu kama vile rangi au kupakwa kwa zinki.
Makaa mawe Sehemu kubwa hubadilishwa pia kuwa mkaazimawe kwa kuipasha moto kiwandani; mkaazimawe hutumiwa katika utengenezaji wa chumapua (feleji).
Vanadi Inatumiwa kama sehemu za aloi za chumapua mbalimbali inapozuia kutu na kuongeza uwayaikaji wa chumapua. Aloi hizi zatumiwa kwa vyombo vya kiganga kwa upasuaji, vipuri vya giaboksi, pamoja na titani katika aloi kwa matimizi ndani ya rafadha za injini za ndege.
Chuma cha pua Chuma cha pua ni ngumu kushinda chuma tupu isiyo na kaboni. Siku hizi kuna pia aloy za chumapua ambamo dutu tofauti na kaboni hutumiwa.
Titani Kwa hiyo inatumiwa kama sehemu za aloi za chumapua mbalimbali kwa mfano kwa eropleni au mashine zinazokusudiwa kwa kazi kwenye maji ya chumvi au baharini.
Chuma cha pua Nyongeza za kromi zababisha chumapua kutoshika kutu. Hivyo vifaa vya chakula kama vile uma, visu au vijiko hutengenezwa na aloi hiyo, pia vifaa vya madaktari kama vile visu vya upasuaji.