Top 10 similar words or synonyms for cherry

knight    0.947376

kevin    0.947337

ron    0.942925

judy    0.939475

trey    0.939308

foster    0.938612

barnes    0.937225

cameron    0.937054

benny    0.936867

mcqueen    0.936812

Top 30 analogous words or synonyms for cherry

Article Example
Cherry Jones Cherry Jones (amezaliwa tar. 21 Novemba 1956) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika kwa kucheza kwake kama Rais wa Marekani (Allison Taylor), katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha "24".
Desperate Housewives Desperate Housewives ni kipindi cha Marekani kilichotungwa na Marc Cherry na kutayarishwa na ABC Studios pamoja na Marc CHerry Productions. Watayarishaji wakuu tangu msimu wa nne ni Marc Cherry, Bob Daily, George W. Perkins, John Pardee, Joey Murphy, David Grossman, Larry Shaw na Sabrina Wind.
John Korir Katika shindano la Cherry Blossom 10-Mile Run la 2005, John Cheruiyot Korir aliibuka wa tano katika huku John Kipsang Korir akilishinda shindano hilo.
Beverley Kelso Beverley Kelso ni mwimbaji kutoka nchini Jamaika. Alikuwa mwitikiaji na alikuwa mmoja kati ya wanachama waanzilishi wa bendi ya The Wailers (kati ya 1963–1966). Kifo cha Junior Braithwaite mnamo 1999 na kifo cha Cherry Smith mnamo 2008 kimemwacha Kelso na Bunny Wailer wakiwa kama wanachama waanzilishi pekee wa kina Wailers (ijapokuwa Cherry Smith hakuorodheshwa kwenye tovuti ya bendi akiwa kama mwanachama kamili kwa kutokana na mchango wake mdogo katika bendi).
Scott Storch Scott alizaliwa mnamo 1973 mjini Nova Scotia, Kanada. Storch ni mtoto wa Mzee Fahad, ambaye ni mwendesha mashtaka na mwimbaji, ambao wote wanaasili ya Kiyahudi. Kwa bahati baadaye alihamia mjini Cherry Hill Township, New Jersey halafu Coral Springs, Florida.