Top 10 similar words or synonyms for cassie

banton    0.946409

differences    0.946281

ppk    0.942382

jessy    0.942212

fran    0.941758

kimituku    0.941499

cobb    0.940194

udm    0.939043

journalist    0.938944

kirkpatrick    0.938883

Top 30 analogous words or synonyms for cassie

Article Example
Cassie (albamu) "Cassie" ni albamu ya kwanza ya mwimbaji Cassie, iliyotolewa na Bad Boy Records na Next Selection huko nchini Marekani mnamo tar. 8 Agosti 2006.
Cassie (albamu) Ryan Leslie alitayarisha kipande kikubwa cha albamu hii, ambayo ni mchanganyiko wa muziki wa kisasa, pop na R & B. Cassie alisema katika mahojiano, "Mimi ninaweza ku-rap, kuimba R & B, nyimbo za polepole na vitu ambavyo wasichana hupenda, nina wimbo ambayo niliimba pamoja na wasichana wangu wa bendi iitwayo Pretty Boys. Alitoa shukrani zake kwa utamaduni wake wa Kifilipino kwa kutumia OPM sounds katika baadhi ya nyimbo.
Cassie (albamu) "Cassie" ilifika namba nne kwenye chati ya Marekani ya "Billboard" 200 kwa kuuza nakala 100,374 katika wiki yake ya kwanza. Ilikaa kwenye nyimbo bora ishirini kwa wiki mbili, katika nyimbo bora arobaini kwa wiki tatu na kwenye chati kwa wiki kumi. Mpaka Aprili 2008, albamu hii imeuza nakala 321,000. Single ya kwanza kwenye albamu hii, "Me & U", ilifika namba ya tatu kwenye "Billboard" Hot 100 na ilikuwa katika nyimbo bora ishirini katika nchi nyingine sita. Single ya pili, "Long Way 2 Go", haikufanya vizuri kama "Me & U" nchini Marekani, ikifikia tu namba tisini na saba kwenye chati za Hot 100. Video yake, hata hivyo, ilifika namba tatu kwenye "TRL ya MTV " na ilifanya vizuri nchini Uingereza kwa kufika namba kumi kwenye UK Singles Chart.