Top 10 similar words or synonyms for carnegie

technical    0.872419

normale    0.860910

bellville    0.850678

boulder    0.850237

univ    0.848723

motheco    0.841373

supérieure    0.835457

wits    0.834739

princeton    0.832108

architecture    0.831966

Top 30 analogous words or synonyms for carnegie

Article Example
Robert Braden Baada ya kuhitimu, alifanya kazi Stanford na katika Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon. Alifundisha mifumo ya programu na uendeshaji huko Stanford, Carnegie Mellon, na pia UCLA, ambako alihamia baadaye.
Andy Warhol Baada ya shule Andy alisoma uchoraji kwenye Carnegie Institute of Technology mjini Pittsburgh (sasa Carnegie Mellon University). 1949 alihamia New York City akawa mchoraji kwa ajili ya magazeti na biashara ya matangazo. Tangu 1952 alianza kuonyesha michoro yake katika maonyesho. Alipata jina nzuri akaajiriwa na kampuni ya muziki RCA Records na kutunga kawa kwa sahani za santuri.
Mauaji ya kimbari Mwaka wa 1944, Taasisi ya Carnegie kwa Amani ya Kimataifa ilachapisha maandishi muhimu zaidi ya Lemkin, yaliyoitwa "Utawala wa Kiaksisi Katika Ulaya Iliyokuwa si Huru", nchini Marekani. Kitabu hicho kilikuwa na uchambuzi wa kina wa kisheria wa utawala katika nchi zilizosimamiwa na Ujerumani wa Kinazi wakati wa Vita Vikuu Vya Pili Vya Dunia, pamoja na ufafanuzi wa maneno "mauaji ya kimbari".