Top 10 similar words or synonyms for calhoun

udm    0.969960

bielefeld    0.967314

lwb    0.966933

bournemouth    0.966769

dortmund    0.966141

ord    0.965618

tanger    0.963387

diodorus    0.963193

ppk    0.959952

tilden    0.958913

Top 30 analogous words or synonyms for calhoun

Article Example
John C. Calhoun John Caldwell Calhoun (18 Machi 1782 – 31 Machi 1850) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais John Quincy Adams, halafu chini ya Rais Andrew Jackson kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1832 alipojiuzulu. Mwaka wa 1844 aligombea urais yeye mwenyewe lakini akashindwa na James Polk.
John Quincy Adams John Quincy Adams (11 Julai 1767 – 23 Februari 1848) alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.
Andrew Jackson Andrew Jackson (15 Machi 1767 – 8 Juni 1845) alikuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia mwaka wa 1829 hadi 1837. Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza John C. Calhoun, halafu Martin Van Buren aliyemfuata kama Rais.
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1828 Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1828 ulikuwa wa 11 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 31 Oktoba hadi 2 Desemba. Upande wa "Democratic Party", Andrew Jackson (pamoja na kaimu wake John C. Calhoun) alimshinda Rais John Quincy Adams (pamoja na kaimu wake Richard Rush).