Top 10 similar words or synonyms for bikaboneti

clo    0.907098

stronti    0.892878

staphylococcus    0.890203

potassium    0.889874

prediction    0.889434

jinr    0.886310

error    0.885022

sosi    0.884919

clymene    0.884520

bacterial    0.884266

Top 30 analogous words or synonyms for bikaboneti

Article Example
Damu Wakati damu inapotiririka kupitia mishipa, dioksidi ya kaboni huenea kutoka kwa tishu hadi kwenye damu. Kiasi kingine cha dioksidi ya kaboni huyeyushwa kwenye damu. Sehemu ya CO huathiriwa na himoglobini na protini zingine na kuunda michanganyiko ya kaboni na amino. Dioksidi ya kaboni iliyobaki inabadilishwa kuwa bikaboneti na ioni za haidrojeni kupitia kitendo cha RBC cha kiondoa maji cha kaboni. Kiasi kikubwa cha dioksidi ya kaboni kinasafirishwa kupitia damu katika muundo wa ioni za bikaboneti.
Damu Dioksidi ya kaboni (CO bidhaa kuu taka kutoka kwa seli hubebwa katika damu ikiwa hasa imeyeyushwa kwenye plazma, kwa kiasi sawa na bikaboneti (HCO na asidi ya kaboni (H CO 86-90% ya CO katika mwili hubadilishwa kuwa asidi ya kaboni, ambayo inaweza kubadilika haraka kuwa bikaboneti, ulinganifu wa kemikali ukiwa muhimu katika ukingaji wa pH ya plazma. pH ya damu huwekwa katika kadiri ndogo (pH ya kati ya 7.35 na 7.45).
Figo Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa plazma ya ioni kama vile sodiamu, potasiamu, hidrojeni, oksijeni, hewa na msombo kama vile asidi amino, kreatini, bikaboneti na glukosi, figo husawazisha shinikizo la damu, hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundu).
Damu Seli nyingi zaidi katika damu za wanyama wenye uti wa mgongo ni seli nyekundu za damu. Seli hizi zina himoglobini, protini yenye madini ya chuma, ambayo huwezesha usafirishaji wa oksijeni kwa kujiunganisha kwa hali ya kujirudia na gesi hii ya kupumua na kuongeza kwa kiasi kikubwa umumunyifu wake katika damu. Kwa upande mwingine, dioksidi ya kaboni inasafirishwa karibu kabisa nje ya seli ikiwa imeyeyushwa ndani ya plazma kama ioni ya bikaboneti.
Tetekuwanga Muda wa kujitokeza kwa vilengelenge vinavyosababishwa na virusi vya varisela zosta hutofautiana miongoni mwa watoto aghalabu kutoka siku 4 hadi 7, kisha kujitokeza kwa dalili ya malengelenge mapya huanza kupunguka baada ya siku 5. Maambukizi ya tetekuwanga ina hatari ya kadri kwa watoto wadogo, na ya matibabu ya dalili, kwa kujipaka sodiumu bikaboneti au dawa za uzio /1} ili kupunguza mwasho. Parasetamoli (asetaminopheni) hutumika sana kupunguza homa. Aspirini au bidhaa zilizo na aspirini, hazipaswi kutolewa kwa watoto walio na tetekuwanga kwa vile inaweza kusababisha dalili za Reye.