Top 10 similar words or synonyms for believe

instrumental    0.980813

stop    0.974745

nothing    0.974482

still    0.973467

extended    0.973303

luv    0.969741

hold    0.969276

wit    0.968930

dub    0.968198

gotta    0.967531

Top 30 analogous words or synonyms for believe

Article Example
I Still Believe Tofauti na single zilizotangulia na kupata nafasi mbalimbali katika chati za nchini humo, wimbo wa "I Still Belive" ulipata mafanikio zaid nchini Uingereza ukilinganisha na maeneo mengine. Wimbo huu ulifanikiwa kufika katika nafasi ya nne katika chati ya Billboard Hot 100. Halikadhalika wimbo huu uliweza kufika katika nafasi ya 36, katika nyimbo 100 bora za mwaka 1999. Nje ya Marekani, wimbo huu uliweza kufika katika nafasi za wastani kama vile, Nchini Uingereza uliweza kuingia katika nyimbo ishirini bora. Nchini Canada wimbo huu ulifanikiwa kuingia katika nyimbo kumi bora, lakini haukufanikiwa kuingia katika nyimbo arobaini bora nchini Australia au Ujerumani
I Still Believe Mwanamuziki wa nchini Jamaica Beenie Man alitumia mashairi mengi kutoka katika wimbo huu katika wimbo wa "Crazy Notion" uliokuwa katika albamu yake ya "Art and Life" iliyotoka mwaka 2000
I Still Believe Video ya wimbo huu iliongozwa na Brett Ratner ambapo ailihamasikwa na kitendo cha Marilyn Monroe kutembelea nchini vikosi vya kijeshi ya Marekani vilivyokuwa nchini Korea mwaka 1953. Inamwonesha Carey ambaye alikuwa amefananisha nywele zake na za Monroe huku akijaribu kucheza kama Judy Garland, alipokuwa ametembelea katika vikosi vya anga vya Edwards katika jimbo la Califonia, na kuimba kwa ajili ya wanaanga hawa kama vile Monroe alivyofanya wakati wa vita vya Korean War
I Still Believe Australian CD single
I Still Believe Japanese-U.S. CD maxi-single