Top 10 similar words or synonyms for bashir

ahmad    0.866605

hardini    0.859572

muammar    0.857898

abd    0.850729

gaddafi    0.849917

swaalih    0.848955

nahyan    0.842397

hakim    0.838207

rahman    0.837364

barwani    0.833917

Top 30 analogous words or synonyms for bashir

Article Example
Omar al-Bashir Alikuwa rais tangu 1993. Alitangulia kushika mamlaka nchini baada ya kuwa kiongozi wa uasi wa kijeshi uliopindua serikali ya waziri mkuu Sadiq al-Mahdi mwaka 1989. Bashir aliongoza nchi kama mwenyekiti wa kamati ya wanajeshi na baadaye waziri mkuu hadi kujipa cheo cha rais 1993.
Omar al-Bashir Al-Bashir anaandaa kugombea urais tena katika uchaguzi wa kitaifa mwaka 2010 ambao ni uchaguzi wa kwanza baada ya miaka 10 unaotarajiwa kuwa na vyama vingi.
Omar al-Bashir Omar Hasan al-Bashir (amezaliwa 1 Januari 1944) ni Rais wa nchi ya Sudan.
Omar al-Bashir Baada ya kushika uongozi alishirikiana na mwanasiasa na kiongozi wa Kiislamu Hassan al-Turabi akatangaza sheria zilizoweka nchi chini ya muundo wa shari'a ya Kiislamu. Alikandamiza wapinzani vikali mwishowe pia mshauri wake wa awali al-Turabi.
Omar al-Bashir Mwaka 2004 Bashir alikubali mkataba wa amani uliomaliza vita ya wenyewe kwa wenyewe katika Sudan Kusini akaipa sehemu hii ya nchi haki ya kujitawala. Lakini vita ya ndani nyingine ilianza katika Darfur (Sudan magharibi). Kutokana na mauaji mengi na matendo ya kinyama dhidi ya watu raia Al-Bashir ameshtakiwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya jinai kama mkosaji wa jinai dhidi ya binadamu.