Top 10 similar words or synonyms for baccalaureate

education    0.810636

educational    0.801961

training    0.799213

monetary    0.793524

institute    0.784771

medical    0.779858

alliance    0.768231

igcse    0.767017

hydrographic    0.766989

technology    0.766327

Top 30 analogous words or synonyms for baccalaureate

Article Example
American British Academy ABA ni inatambulika kikamilifu na vyama vya Middle States Association of Colleges and Schools na European Council of International Schools. ABA pia ni "IB World School," iliyo na mamlaka ya kutoa International Baccalaureate katika shule ya msingi (Darasa 1-5), na International Baccalaureate kwa shule ya kati (Darasa 6-10), na diploma ya International Baccalaureate (Darasa 11-12).
Aga Khan Academy, Mombasa Shule ya Aga Khan Academy, Mombasa ni inatekeleza mfumo wa elimu inayojulikana kote duniani inayoitwa International Baccalaureate kwa Shule ya Msingi. Mfumo huu unafaa kwa wanafunzi wenye umri wa miaka 5-11 katika madarasa 1-6, inayolenga katika maendeleo ya mtoto, kwa kushughulikia maswala ya kijamii, kimwili, na mahitaji ya kitamaduni na kimaadili, na vilevile kuwapa wanafunzi msingi imara katika maeneo muhimu ya elimu. Mnamo Januari 2005, Aga Khan Academy (Shule ya msingi - madarasa ya chini), ilituzwa "Candidate School" kutoka kwa cham cha International Baccalaureate Organization (IBO).
Elimu nchini Kenya Shule nyingi za kibinafsi huwa na mfumo wa elimu ya Uingereza , ukifuatiwa na A-levels au Baccalaureate ya kimataifa licha tu ya chache zinazofuata mfumo wa Marekani. Shule chache za kibinafsi hufuata mfumo wa KCSE kando na mifumo ya kigeni wakiwapa wanafunzi kuchagua ni upi wa kufuatwa. Kwa mfano ,Shule ya Saint Mary's, Nairobi.
International School of Kenya International School of Kenya ni shule ya kimataifa inayofunza wanafunzi kuanzia darasa la chekechea hadi darasa la 12. Shule hii iko nje ya jiji la Nairobi, Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 1976 iliyojengwa katika uwanja wa hekta 25. Wanafunzi wanaweza kusomea mfumo wa elimu wa diploma ya Amerika ya Kaskazini au diploma ya International Baccalaureate. Shule hii inatambulika na MSA, na ni shule kubwa zaidi ya kimataifa mjini Nairobi. Shule hii pia ni mwanachama wa Chama cha Association of International Schools in Africa (AISA).
Aga Khan Academy, Mombasa Katika Shule ya Upili, Chuo hiki ni kinatumia Diploma ya International Baccalaureate (DP) kwa wanafunzi wenye umri wa miaka 16-18. Hii ni somo la miaka miwili mfululizo ambayo huandaa wanafunzi kwa chuo kikuu. Wanafunzi wote wa DP husoma lugha, sayansi ya kijamii, na sayansi ya majaribio, hisabati na somo la sanaa. Mafanikio ya kila mwanafunzi hutahiniwa na watahiniwa huru na hupimwa kulingana na maarifa na ujuzi wa mtahiniwa.
Arusha (mji) Shule ya kimataifa ya Moshi ilianzishwa mwaka 1969 na sasa ina wanafunzi 460 kutoka mataifa 46. Kuna vyuo vikuu viwili Moshi na Arusha. Chuo cha Arusha kilianzishwa mwaka 1986 na sasa kina wanafunzi 200 wa siku, na hutoa kozi za awali kutoka chekechea hadi darasa la 10. Gredi K-10 kufuata International Baccalaureate mpango wa miaka ya Msingi (PYP) na mpango wa miaka ya Kati (MYP) mitaala kwa maoni ya Afrika na kimataifa. Imekuwa ni moja ya shule za kimataifa za Ib World tangu 2007.