Top 10 similar words or synonyms for awards

award    0.910077

emmy    0.887557

grammy    0.882612

best    0.882479

oscars    0.851331

guild    0.842966

globe    0.833743

academy    0.828304

ameshinda    0.814001

mtv    0.809225

Top 30 analogous words or synonyms for awards

Article Example
Grammy Awards Grammy Awards au Tuzo za Grammy (awali iliitwa Gramophone Awards)—au Grammys—hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini Marekani kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika soko la muziki. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushirikisha wasanii mashuhuri na wale machipukizi, na baadhi ya tuzo zao huwa maarufu na huonyeshwa katika matelevisheni mengi nchi nzima.
Grammy Awards Makundi makuu ya au jamii kuu za aina ya muziki ni nne.
Kili Music Awards Tuzo huwa zinatolewa kila mwaka kwa dhumuni la kuwapa uwamko wasanii wa Afrika Mashariki, kundeleza vipaji na usia kwa jamii ya kiafrika kwa ujumla, hivyo upewa kama pongezi kwa kazi walioifanya kwa uelimisha jamii katika kipindi cha mwaka mzima.
Screen Actors Guild Awards Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild (SAG) kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake (yaani, hutolewa kwa ajili ya wanachama wa SAG tu, basi). Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwili - kimoja cha kuchekesha na kingine cha kusikitisha, kinaitwa Actor. Kina urefu wa inchi 16, uzani wa ratili 12, na ni kalibu ya shaba nzito.
NAACP Image Awards Sawa tu na tuzo nyingine, kama vile Oscars na Grammys, kundi au jamii zote 35 za Image Awards huchaguliwa na wanachama wa NAACP. Pia kuna tuzo za vyeo au heshima kwa mtu fulani, ikiwa pamoja na Tuzo ya Rais, Tuzo ya Mwenyekiti, Mburudishaji wa Mwaka na The Image Award Hall of Fame.