Top 10 similar words or synonyms for authority

board    0.923503

markets    0.914541

services    0.910291

commission    0.905405

finance    0.902102

bureau    0.899637

standards    0.893751

capital    0.893094

research    0.892916

homepage    0.889562

Top 30 analogous words or synonyms for authority

Article Example
Kenya Revenue Authority Kenya Revenue Authority (KRA) ni shirika la ukusanyaji wa ushuru nchini Kenya. Ilivumbuliwa 1 Julai 1995 ili kuboresha ukusanyaji wa ushuru kwa niaba ya Serikali ya Kenya. KRA inaskusanya idadi ya ushuru na wajibu, ikiwemo: ushuru ya thamani, ushuru ya mapato na "customs" Tangu kuanzishwa kwa KRA, ukusanyaji wa mapato umeongezeka kwa kasi, na kuwezesha serikali kutoa huduma zinazohitajika zaidi kwa raia wake kama vile, elimu ya msingi ya bure na tiba la HIV kwa wote. Zaidi ya 90% ya ufadhili wa bajeti ya mwaka wa kitaifa huja kutoka ushuru zilizokusanywa na KRA.
Kenya Ports Authority Kenya Ports Authority "(KPA)" ni shirika la serikali lenye wajibu wa "kudumisha, kutekeleza, kuboresha na kusimamia kufanyika kwa huduma zote kwenye Bahari ya Hindi ukanda wa pwani ya Kenya, ikiwa ni pamoja na Bandari ya Kilindini hususan ya Mombasa. Bandari zengine zinazohudumiwa na KPA ni pamoja na Lamu, Malindi, Kilifi, Mtwapa, Kiunga, Shimoni, Funzi na Vanga. KPA ilianzishwa mwaka wa 1978 kwa kitendo cha Bunge na iko Mombasa.
Kenya Ports Authority Kenya Ports Authority ni mwekezaji asili katika shirika la serikali ya Kenya, Kenya National Shipping Line, ambayo ilianzishwa mwaka wa 1989.
Kenya Ports Authority KPA pia inamiliki timu za michezo mbalimbali, ikiwemo timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, Bandari FC pamoja na klabu ya timu mojawapo ambayo huongoza mpira wa kikapu ya wanawake.
Kenya Ports Authority Katika mwaka wa 1989, serikali ya Kenya ilileta pamoja uendeshaji na udhibiti wa huduma zilizokuwa za feri, ikiwemo pamoja na Likoni Ferry service hapo Likoni, Mombasa, zote zikawa katika hidara moja ya KPA, Kenya Ferry Services. Hidara hiyo ilitunukiwa hadhi ya hali ya shirika la serikali ya Kenya lenye uwezo wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1998.