Top 10 similar words or synonyms for aside

kalsiamu    0.846781

plazma    0.836353

inamenyuka    0.826602

monoksidi    0.826376

kukausha    0.824609

poda    0.821686

naitrojeni    0.819367

oksidi    0.819223

kuoza    0.818671

ubaridi    0.816688

Top 30 analogous words or synonyms for aside

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Limau Limau ni tunda, mti mdogo ambao daima kijani, cirtrus limon, asili yake asia na pia ni jina la mmea wake. Tunda la limao hutumiwa kwa makusudi ya mapishi na mengine ysiyo ya mapishi hasa kwa majimaji yaje, japo nyama zake na pia maganda yake hutumika hasa wakati wa kupika na kuoka. Majimaji ya limao ni asilimia 5 asidi sitriki aside ya matunda jamii ya machungwa) ambayo hulipa limao radha ya uchachu, na ph ya 2 mpaka 3, hii hufanya kujipatia aside ya gharama nafuu kwa ajili ya mafunzo ya kielimu. Kutokana na radha yake ya uchachu, vinywaji vingi na peremende vilivyokolezwa na radha ya limao vinapatikana.
Chungwa Kama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha, sawa kabisa na hata siki ya nyumbani.
Limau Malimao yanafahamika kama msaada mkubwa wa umengenywaji wa chakula, mchanganyiko wa asali nyeusi na makapi huwa kwa kiwango kizuri katika kusafisha oganiza umegaji wa chakula. Virutubisho vingine hujumuisha maji -89%, aside ya sitriki -5%, makapi -2.8%, sukari – 2.5%, Fati – pungufu ya 0.3%, protini – pungufuya 7%, vitamin C, na madini kadhaa kama vile selenium, zinc manganese, na shaba.
Mpunga wa kiasia Mpunga ni chanzo kizuri cha protini na ni chakula kikuu katika maeneo mengi duniani, japo si protini kwa asilimia mia: haina kiasi chote cha aside za amino muhimu kwa afya, na hulazimika kuchanganywa na vyanzo vingine vya protini kama vile maharagwe, samaki na nyama.
Limau Malimao hutumika kutengenezea shamlati na mapambo mezani kwa vinywaji. Magada ya limao pia yanamatumizi mengi. Vinywaji vingi soda, chi na maji mara nyingi huandaliwa na kipande cha limao kwenye bilauri au hata kwenye pindo ya chombo husika. Ssamaki huwekwa maji ya limao kuondoa shombo. Hapo aside ya limao hubadilisha amaibni, kemikali iliyo kwenye samaki kuwa chumvi za amoniamu, pia hutumika kulainisha nyama kwa tena kunyunyizia kwenye nyama kabla ya kupika, japo haiui vijidudu. Mmatumizi mengine, malimao hutumika kutengeneza aside ya Sitriki, kabla ya njia ya kuchachusha haijafahamika. Hutumika kusafishia vyombo na baadhi ya vitu hasa, hasa kwa ugumu wake ya kuondoa mafutana madoa.Hutumika kama bacteria sababu ya kiwango chake kidogo cha pH, majimaji ya limao pia hutumika kusafishia vyombo vya shombo, wakifuatiwa na Meksiko 14.5%, Brazili 8% na Hispania 7%.
Madhara ya ongezeko la joto Duniani Jukumu la bahari katika ongezeko la joto Duniani ni la utata. Bahari hutumika kama eneo ambapo kaboni monoksaidi huingia, na kuchukua nyingi ambayo ingebaki katika anga, lakini ongezeko la CO limesababisha aside kuongezeka baharini. Aidha, kadiri kiwango cha joto cha bahari kinavyongezeka, zinashindwa kuchukua ndani CO nyingi. Ongezeko la joto Duniani inatabiriwa kuwa na athari nyingi kwa bahari. Baadhi ya athari zinazoendelea ni ongezeko la eneo la bahari lenye maji kwa sababu ya upanuzi unaosababishwa na joto na kuyeyuka kwa theluji na mabati ya barafu, na kuongezeka kwa joto katika uso wa bahari, hivyo kusababisha ongezeko la tofauti za vipimo vya joto. Athari zingine zinazowezekana ni kubadilika kwa mzunguko wa bahari katika eneo kubwa.