Top 10 similar words or synonyms for asiatiki

kiaustro    0.961132

kadai    0.948829

tibeti    0.935716

mien    0.912217

kisino    0.903082

kihmong    0.884258

kitai    0.883601

kitorricelli    0.863556

kiasia    0.858142

kitor    0.848159

Top 30 analogous words or synonyms for asiatiki

Article Example
Lugha za Kiaustro-Asiatiki Lugha za Kiaustro-Asiatiki ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika nchi za Asia ya Kusini-Mashariki. Katika familia hiyo kuna lugha 168 zenye wasemaji takriban milioni 100. Lugha za Kiaustro-Asiatiki zenye wasemaji wengi mno ni Kivietnam na Kikhmer ambazo moja ni lugha rasmi nchini Vietnam na nyingine nchini Kamboja.
Kibahnar Kibahnar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wabahnar. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibahnar imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibahnar iko katika kundi lake lenyewe la Kibahnariki.
Kiminriq Kiminriq ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Waminriq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiminriq imehesabiwa kuwa watu 270 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminriq iko katika kundi la Kiaslian.
Kisabüm Kisabüm ilikuwa lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia iliyozungumzwa na Wasabüm. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisabüm yaani lugha ya Kisabüm imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisabüm iko katika kundi la Kiaslian.
Kibru-Magharibi Kibru-Magharibi ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wabru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibru-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibru-Magharibi iko katika kundi la Kikatuiki.