Top 10 similar words or synonyms for aragatsotn

shirak    0.976571

tavush    0.973816

taza    0.972261

armavir    0.971444

kadéï    0.970680

aereos    0.968048

gölcük    0.967867

mambéré    0.966276

lobaye    0.964879

verin    0.964791

Top 30 analogous words or synonyms for aragatsotn

Article Example
Aparan Aparan (Kiarmenia: "Ապարան", pia unajulikana kama Abaran; mpaka 1935, Bash Aparan; zamani iliitwa, Aparanbol, Aparan Verin, Aparanpol, Abaran Verin, P’araznavert, K’asakh, Kasagh, na K’asagh) ni mji uliopo nchini Armenia, uliopo mkoani Aragatsotn, takriban kilomita 50 kutoka kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Mji huu umechanganya wakazi, yaani, kuna Waarmenia na Wakurdi, na idadi ya wakazi 5,711 kwa sensa ya mwaka wa 2001..
Ashtarak Ashtarak (Kiarmenia: Աշտարակ, maana yake "mnara" kwa Kiarmenia; pia unajulikana kwa Kirumi kama Achtarak na Ashtarakats’ Gyugh) ni mji wa viwanda huko nchini Armenia, kwenye eneo la Mto Kasagh takriban km 20 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan, na huu ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Aragatsotn. Mji huu una wakazi wapatao 30,000 wanaokalia mji huu, hii njia ya mkato muhimu sana kwa kukatizia na kuelekea kwenye miji mikubwa ya Armenia kama vile: Yerevan, Gyumri na Vanadzor.