Top 10 similar words or synonyms for andhra

pradesh    0.925981

lumpur    0.881840

kuala    0.867096

maharashtra    0.853506

gujarat    0.849997

nadu    0.841444

uttar    0.838653

madhya    0.833597

ludhiana    0.830043

punjab    0.827813

Top 30 analogous words or synonyms for andhra

Article Example
Andhra Pradesh Andhra Pradesh (, ), ni moja kati ya majimbo 28 ya India. Jimbo lipo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya India. Ni jimbo la nne kwa ukubwa wa eneo na ni la tano kwa hesabu ya wingi wa wakazi nchini India. Mji mkuu wake ni Hyderabad. Jumla ya pato la ndani ya Pradesh ni dola za Kimarekani zipatazi bilioni 100 na imeshika nafasi ya tatu miongoni mwa majimbo yote ya India. Jimbo hili ni la pili kwa ukuwa na ukanda wa pwani ulio-mkubwa zaidi ambamo kuna miongoni mwa majimbo yote ya India. Lugha ya kwanza mjini Andhra Pradesh ni Kitelugu na Kiurdu ni lugha rasmi katika baadhi ya sehemu, wakati lugha zingine zinazozungumzwa mjini hapa ni pamoja na Kihindi, Kimarathi, Kitamil, Kannada, na Kioriya. Idadi ya wakazi wa mjini hapa ni 84,655,533 - kulingana na sensa ya mwaka wa 2011.
Secunderabad Secunderabad (pia:Sikanderabad) ni mji wa nchini India katika jimbo la Andhra Pradesh upande wa mashariki wa nchi.
Telangana Telangana ni jimbo la 29 la jamhuri ya India, likiwa limeundwa rasmi tarehe 2 Juni 2014 kwa kutengana na Andhra Pradesh.
Mtama Utafiti wa hali ya juu wa mtama unafanywa na Taasisi ya Utafiti wa Mazao ya Kimataifa kwa Hari Kame katika Andhra Pradesh, India, na kwa USDA-ARS katika Tifton, Georgia, USA.
Puducherry Jumla ya maeneo yote ni km² 492; kati ya sehemu nne Pondicherry (km² 290) na Karaikal (km² 160) zimezungukwa na eneo la jimbo la Tamil Nadu; Yanam (km² 20) liko ndani ya eneo la jimbo la Andhra Pradesh na Mahé (km² 9) imezungukwa na jimbo la Kerala.