Top 10 similar words or synonyms for anayetaka

ambuya    0.895650

anajifanya    0.884384

akitaka    0.867951

hajui    0.865929

anamwambia    0.865386

atakaye    0.861506

hataki    0.860864

kumtunza    0.859508

anaamua    0.854722

endapo    0.853769

Top 30 analogous words or synonyms for anayetaka

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Raia Zifuatazo ni sifa ambazo kama mtu anayetaka kuishi Tanzania azifuate:
Sala ya moyo “Nzi anayetaka kuonja utamu wa asali akizamisha mabawa yake ndani ya asali hawezi kuruka tena. Vivyo hivyo mtu anayetaka kufurahia matamu ya roho hawezi kuinukia sala hasa” (Yohane wa Msalaba).
Sala ya moyo Nisipojipatia muda wa kufanyia sala ya moyo, mwisho nitakuwa kama mtu anayetaka kufanya kazi bila ya kula.
Breki Breki inahitaji muundo ambako tendo la dereva anayetaka kusimama inafikishwa kwenye viatu vya breki yaani mahali pa kushika gurudumu. Dereva anakanyaga pedali na nguvu ya mguu wake unafikishwa kwa njia mbili:
Akina Dada Faioli Anayetaka kupata picha sahihi ya Bweni la Anticoli ni lazima azingatie Kanuni ya awali: "Lengo kuu la Bweni na la shule liwe kuishi kwa umakinifu na kuongea na Mungu" kwa sababu "walimu wasio na roho ya Mungu wanafaa kubomoa shule kuliko kuzijenga".
Wasangu (Tanzania) Kwa kawaida mvulana aliweza kusikilizana na msichana anayetaka kumchumbia. Baada ya hapo, mvulana alikwenda kwa baba yake na kumwambia ya kwamba anamtaka binti ya fulani amchumbie. Basi babake aliweza kumwambia mzee mwenzie pale kijijini kuwa aende akamwambie baba ya binti kuwa wanamtaka kumchumbia binti yake. Iwapo mzee wa binti huyo anakubali ombi la wazee wenzie, basi posa inapelekwa.
Kaka Kaka ni jina ambalo linatumika kwa ndugu wa jinsia ya kiume, hasa akimzidi umri mwingine ambaye ni mdogo wake, lakini pengine hata kwa mdogo ikiwa msemaji ni ndugu wa kike anayetaka kuonyesha heshima kwa jinsia ambayo inapewa haki zaidi katika masuala mbalimbali (urithi, ndoa n.k.) kadiri ya utamaduni husika.
Anselm wa Canterbury Aliweka bayana kwamba yeyote yule anayetaka kusoma teolojia hawezi kutegemea akili yake tu, bali anatakiwa kustawisha maisha ya imani ya dhati. Hivyo kazi ya mwanateolojia apitie hatua tatu: 1) imani, zawadi ambayo Mungu anatutolea bure nasi tuipokee kwa unyenyekevu; 2) mang’amuzi, yanayopatikana kwa kutekeleza Neno la Mungu katika maisha ya kila siku; 3) ujuzi halisi, unaotegemea si mpangilio wa fikra tu, bali sala hasa.
Kanisa la Biblia Publishers Kazi yake ni kutafsiri, kuandaa na kutoa maelezo ya Biblia kwa Kiswahili. Wanachapisha vitabu kwa msomaji wa Biblia anayetaka kuelewa vizuri zaidi, ili apate kuelewa mwenyewe, kuwafundisha wengine neno la Mungu na kutafsiri maana yake kwa maisha ya kila siku. Kanisa la Biblia Publishers inadhamiria kukuza ufahamu wa Biblia Afrika Mashariki kwa njia ya kusambaza maandiko ya Kikristo yanayosaidia kuelewa Maandiko kwa manufaa binafsi, kwa kukua kiroho na kwa kutoa mafundisho.
Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki Mwanzoni Peters alikataliwa na serikali ya chansella Bismarck ambaye hakuona faida ya kuunda koloni akaogopa hasara. Lakini Peters aliitisha serikali ya kwamba angeweza kuuza maeneo yale kwa mfalme Leopold II wa Ubelgiji aliyejenga wakati uleule koloni yake katika Kongo. Hapa Bismarck aliogopa wanasiasa katika bunge waliowahi kudai koloni za Ujerumani eti wangesema kwa nini mtu mwema anayetaka kutupatia koloni amedharauliwa na sasa wageni wa Ubelgiji wamepata faida. Hivyo Peters alipewa hati ya ulinzi kutoka serikali ya Berlin iliyosema ya kwamba maeneo yote yaliyotajwa katika mikataba yako chini ya ulinzi wa serikali ya Ujerumani.