Top 10 similar words or synonyms for aliyesajiliwa

kumhusu    0.796320

huunga    0.787068

kukosoa    0.779868

kuibua    0.774146

yalipelekea    0.772497

apende    0.772078

kimahakama    0.770795

kutimizwa    0.769310

ameweza    0.763797

huongoza    0.761590

Top 30 analogous words or synonyms for aliyesajiliwa

Article Example
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Sehemu hii inaonyesha kwamba mmiliki aliyesajiliwa itakuwa huru kutokana na riba kuliko na mengineyo:
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Kuongezea, kuna buraa inakuwepo au mazingira ambayo yanaweza 'kupenya' kutoshindwa kwa hatimiliki. Mambo ya kawaida, ikithibitishwa na muhusika, huweza kupenya na kushinda haki za mmiliki aliyesajiliwa, nazo ni pamoja na:
Saikolojia ya Kimatibabu Katika Uingereza usajili kama mwanasaikolojia wa kimatibabu na Baraza la Taaluma za Afya (HPC)ni muhimu. HPC ni msimazi wa kisheria wa madaktari wa kisaikolojia nchini Uingereza. Nchini Uingereza majina yafuatayo yamezuiliwa kisheria "mwanasaikolojia aliyesajiliwa" na "mwanasaikolojia mtekelezi"; kwa kuongezea cheo cha kitaalamu "mwanasaikolojia wa kiafya" pia kunazuiwa na sheria.
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Nchi tofauti zina sheria na vifungu mbalimbali. Zifuatazo zinahusiana na mamlaka ya Victoria ambapo mfumo wa Torrens unadhihirishwa katika "Transfer-of-Land Act 1958" (Vic). punde baada ya usajili wa maslahi yake na baadaye kurekodi kwenye hatimiliki maslahi yake, maslahi ya mmiliki aliyesajiliwa katika ardhi ni makuu kuliko maslahi mengine yote katika ardhi isipokuwa maslahi katika s.42 "Transfer- of-Land Act 1958" ( vic).
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Kwenye usajili wa kwanza wa ardhi chini ya mfumo huu,ardhi hupewa namba ya kipekee (inayoitwa folio) ambayo inataja ardhi akilinganishwa na ramani iliyosajiliwa. Folio hurekodi vipimo vya ardhi na mipaka yake, jina la mmiliki aliyesajiliwa, na masuala yoyote hiyo. Kubadili mipaka ya sehemu ya ardhi, ramani mpya lazima itayarishwe na isajiliwe. Mara tu ardhi inaposajiliwa kwenye mfumo huu, haiwezi kutolewa kwenye mfumo huu kamwe.
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Utendakazi wa mfumo wa hatimiliki wa Torrens huzingatia kanuni ya "hatimiliki kwa usajili" (yaani hakuna ewezo wa kushindikana kwa hatimiliki )xdhidi ya "usajili wa hatimiliki." Mfumo huu unaondolea mbali haja ya mnyororo wa cheo (yaani kufuatilia mfululizo wa nyaraka zote zinazohusu ardhi hiyo). Kila sehemu ya ardhi hupewa ukurasa (folio) tofauti katika rejista naardhi hiyo inabainishwa kulingana na ramani iliyosajiliwa . Folio hurekodi vipimo vya ardhi na mipaka yake, majina ya mwekezaji aliyesajiliwa , na masuala yoyote ya kisheria yanayoathiri ardhi hiyo. Serikali inatoa hakikisho kwa umiliki na hii inaunga mkono kwa mfuko wa fidia kwa wale wanaopoteza hatimiliki zao kutokana na shughuli za kiserikali.
Mfumo wa hatimiliki wa Torrens Uhamisho wa umiliki wa ardhi unatimilishwa kwa mabadiliko kwenye rejista. Msajili ana wajibu wa kuhakikisha kuwa mabadiliko halali kisheria tu ndiyo yanayofanywa kwa rejista. Hadi mwisho huu, msajili ataashiria nyaraka atakazohitaji yeye kuashiria maridhishi yake kuwa kumekuwa kwa kweli na mabadiliko kwenye umiliki. Mabadiliko kwenye umiliki inaweza kutokea kwa sababu ya mauzo ya ardhi, kifo cha mmiliki aliyesajiliwa, au kwa uamuzi wa mahakama.Kwa mtajo tu hizi ndio njia za kawaida umiliki huweza kubadilika. Vilevile, riba yoyote ambayo huathiri haki za umiliki za mmiliki msajili, kama vile mkopo kwa ardhi hiyo, pia inaweza kuandikisha kwenye rejista. Kuna kanuni za kisheria ambazo husimamia haki na mamlaka ya kila maslahi kuhusiano na kila mwingine na katika uhusiano wa pande tatu.