Top 10 similar words or synonyms for alipohitimu

akamaliza    0.865419

makongo    0.847555

paarl    0.845624

akapadrishwa    0.844039

plomer    0.835695

zanaki    0.834314

polytechnic    0.832435

tygerberg    0.831299

nagu    0.828573

nehru    0.828402

Top 30 analogous words or synonyms for alipohitimu

Article Example
Monica Bellucci Bellucci alianza shughuli za uwanamitindo tangu yungali na umri wa miaka 16, pale alipohitimu elimu yake ya sekondari katika shule ya Liceo Classico.
Yohane wa Avila Baada ya utume wake wa miaka tisa mkoani Andalusia, alirudi Seville, ambako aliondoka tu kwa kazi kubwa zaidi huko Cordoba, alipojiunga na jimbo moja kwa moja, Granada (1536), alipohitimu masomo ya chuo kikuu, Baeza, Montilla na Zafra.
Henry Rono Leo, Rono ni mlevi anayejirekebisha na ni mkufunzi katika shule ya sekondari katika kukimbia katika sehemu ya Albuquerque, New Mexico na anasoma ilikuhitimu na shahada katika elimu maalum. Alipohitimu umri wa miaka 55 mwezi Februari mwaka wa 2007, Rono alijaribu kuvunja rekodi ya dunia ya world masters mile ya wakimbiaji wenye umri wa 55 hadi 59. Pia aliandika tawasifu yake, inayoitwa "Olimpic Dream" , mwaka wa 2007.
Thomas Sankara Mwaka wa 1966, rais wa kwanza wa Volta ya Juu, Maurice Yameogo, aliondolewa kupitia mapinduzi na kamanda wa jeshi, Sangoulee Lamizana, alichukua uongozi. Lamizana akaanzisha chuo cha wanajeshi mjini Ouagadougou, ambacho kilikuwa cha kwanza nchini. Sankara alisikia kwenye redio tangazo kwamba wanafunzi wa kwanza wa chuo hicho watachaguliwa kutoka waliohitimu shule ya upili. Alipohitimu, alikuwa mmoja wa waliochaguliwa. Wakati huo, alikuwa na umri wa miaka 17.
Sarah Wayne Callies Wazazi wake wakiwa ni maprofesakatika chuo cha Hawaii kilichopo Manoa, Callies hakufuata nyayo zao kabisa. Badala yake, alichagua kujiingiza moja kwa moja kwenye Uigizaji. Alipohitimu elimu ya sekondari, alijiunga na chuo cha Dartmouth kilichopo Hanover, New Hampshire. Pamoja na kuwa na masomo, aliendelea kujihusisha kwenye maigizo. Aliendeleza elimu yake hapo Denver's National Theatre Conservatory alipojipatia Shahada ya Sanaa ya Maigizo hapo 2002.
William Plomer Plomer alizaliwa tarehe 10 Desemba, mwaka wa 1903 mjini Pietersburg nchini Afrika Kusini. Mamake angependelea kuishi Uingereza lakini babake alipendelea Afrika Kusini, na kwa vyovyote walikuwa hawana pesa za kutosha kuishi Uingereza. Kwa hiyo, Plomer alisomeshwa Johannesburg. Alipohitimu sekondari alifanya kazi katika kilimo kabla hajawa mwandishi; riwaya yake ya kwanza ilitolewa mwaka wa 1925. Mwaka wa 1926 alimuunga mkono Roy Campbell kuanzisha gazeti la "Voorslag" lakini wafadhili wao wakawanyima pesa kwa ajili ya maoni yao ya kisiasa. Plomer akahamia Ujapani ambako alikuwa mwalimu kwa miaka mitatu. Mwaka wa 1929 akahamia Uingereza ambako aliishi hadi mwisho wa maisha yake akiwa anaendelea kufanya kazi kama mwandishi na mhariri.
Samurai Girl "Samurai Girl" ni mfululizo wa sita kwa mwandishi wa riwaya Carrie Asai. Kitabu hii inaelezea hadithi ya Heaven Kogo, ambaye kama mtoto, alikuwa nusura wa kipekee katika ajali ya ndege na alilelewa na familia tajiri ya Kogo . Alipohitimu umri wa miaka kumi na tisa, huwa amepangiwa kuozwa kwa Teddy Yukemura, lakini harusi yake haikutia fanaka kwa kuwa ndugu yake aliuwawa na ninja. Kisha yeye hutoroka kutafuta maisha na familia bora ambayo alidhania.Ilikuwa afanye mazoezi chini ya rafiki ya ndugu yake aliyekuwa shuja ,hii ilikuwa mbinu ya kulinda samurai mwenyewe na wapendwa wake.
Mustapher Siyani Mustapher Mohamed Siyani ni mwanasheria anayefanya kazi kama hakimu mkazi katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam. Alizaliwa tarehe 25 mwezi wa pili mwaka 1977 huko Tunduru mkoani Ruvuma kusini mwa Tanzania. Alisoma katika shule mbalimbali za msingi kama Kiwanjani, Mazoezi (Mbinga) na Mlingoti (Tunduru)toka mwaka 1985 hadi alipohitimu elimu ya msingi mwaka 1992.Baadaye alijiunga na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Frankweston (Tunduru) kisha Shule ya sekondari ya wavulana Songea. Alipata elimu yake ya sheria kwa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Dar es salaam na baadaye shahada ya uzamili (LL.M) katika chuo hicho hicho. Amewahi kufanya kazi katika mahakama ya hakimu mkazi Mbeya na Mbarali mkoani Mbeya.
Ushairi wa Christopher Richard Mwashinga Kufuatia kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea, Mwashinga aliondoka na kurudi nyumbani kwao Uyole, Mbeya. Kwa muda wote uliobaki wa mwaka 1991, hakuandika shairi lolote la Kiswahili. Sababu inaweza kuwa kwamba wakati huu akiwa Mbeya, alielekeza nguvu zake nyingi katika kuandika na kuchapisha mashairi ya Kikristo kwa lugha ya Kiingereza. Kwa mfano mwezi Oktoba mwaka huo wa 1991 aliandika shairi lake la kwanza la kiingereza liitwalo ”The Glorious Deliverance.” Shairi hili lilichapishwa katika gazeti la serikali la kila Jumapili lililokuwa likiitwa Sunday News. Mashairi yake mengine mawili ya Kiingereza yalifuata haraka, yaani ”To the Pilgrims,” lililochapishwa mwezi Oktoba 1991 na "Our Doomed World" lililochapishwa Januari 1992. Hadi Januari 8, 1993 Mwashinga alipoondoka Mbeya kwenda Arusha kujiunga na Chuo cha Kiadventista Tanzania (Tanzania Adventsit College) kusomea masomo ya uchungaji na theolojia, hakuna ushahidi kwamba aliandika shairi lolote jingine la Kiswahili ambalo linafahamika. Hata hivyo, kuanzia mwaka 1993 alipoanza masomo hapo Tanzania Adventist College hadi mwezi Julai 1997 alipohitimu masomo yake ya shahada ya kwanza katika theolojia kutoka katika Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, Baraton, nchini Kenya, alikuwa ameshachapisha mashairi ya Kikristo zaidi ya kumi, yote kwa lugha ya Kiingereza. Mashairi hayo yalichapishwa na Sunday Nation,Kenya, nchini Kenya na Literature Evangelist nchini Marekani Ni jambo la kushangaza kwamba kwa muda huo wote hakuandika shairi lolote la Kiswahili ingawa kuna ushahidi kwamba mapenzi yake kwa mashairi ya Kiswahili hayakuzima. Mara kwa mara pale alipoalikwa kuhubiri au kuhutubia makundi ya vijana wa Kikristo, alizoea kughani mashairi yake ya zamani na hasa shairi liitwalo ”Nimeguswa na Upendo wa Yesu.” Kwa mfano, baada ya kurudi Tanzania mwaka 1997 na kuanza kazi yake kama Mkurugenzi wa Chaplansia wa Jimbo la Mashariki mwa Tanzania katika Kanisa la Waadventista wa Sabato bado aliendelea kughani mashairi yake mara kwa mara.