Top 10 similar words or synonyms for aliens

resident    0.976441

shrek    0.971058

lethal    0.970367

dawg    0.969301

married    0.968664

sgt    0.967634

uncredited    0.966496

mikey    0.965527

shop    0.964593

cameo    0.964397

Top 30 analogous words or synonyms for aliens

Article Example
Carrie Henn Caroline Marie Henn (amezaliwa tar. 7 Mei 1976 mjini Panama City, Florida, Marekani) ni mshindi wa Tuzo ya Saturn, akiwa kama mwigizaji bora-mtoto aliyecheza kama Newt, msichana mdogo aliyekuwa chini ya ulinzi wa Sigourney Weaver (Ellen Ripley) katika filamu ya "Aliens", katika mfululizo wa pili wa mkusanyiko wa filamu za Alien.
Stan Winston Stanley Winston (7 Aprili 1946 – 15 Juni 2008) alikuwa mtaalamu wa vionjo maalumu, msanii wa vipodozi, na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alifahamika sana kwa kutengeneza mfulululizo wa filamu za "Terminator", mfululizo wa filamu za "Jurassic Park", "Aliens", na mfululizo wa filamu za "Predator", "Iron Man (filamu)" na "Edward Scissorhands". Ameshinda jumla ya tuzo nne za Academy Awards kwa kazi yake aliyokuwa akiifanya.
Kristen Hager Pia amepata kuonekana katika ugawaji wa Tuzo za Golden Globe kwa ajiri ya filamu ya I'm Not There. Mwonekano wake uliyomkubwa kabisa ni pamoja na kuonekana katika mfululizo wa filamu za Aliens vs. Predator: Requiem, ambayo ya awali ilikuwa Alien vs. Predator.
Alien vs. Predator Wakati huohuo, Predator watatu wametua katika eneo hilo na kuua wanadamu wote waliokuwa kule juu, wakaanza safari yao ya chini ya pyramid na wamewasili bila hata kikosi kujua lolote linaendelea na wakawesha umeme na mitambo ya ndani humo bila kujua. Malkia wa Alien akaamshwa kutoka kwenye mahali pa kuhifadhiwa kwenye joto dogo kabisa na kuanza kutaga mayai, mayai ambayo Alien anatotoa na wanategesha mitego kadhaa ya kunasia wanadamu ndani ya chumba cha kutolea sadaka. Alien anatokea kifuani na kukua kwa haraka zaidi na kufikia ukubwa ule unaotakikana. Utata unaanza baina ya Predators, Aliens, na wanadamu, inapelekea vifo kadhaa. Bila ya wengine kujua, Predator amepandikiza kiinitete cha Alien.
Lance Henriksen Wakati James Cameron anatunga filamu ya "The Terminator" (1984), alipanga hasa uhusika wa Terminator uchezwe na Henriksen. Cameron alikwenda mpaka akachora picha ya Terminator kwa kutumia sura ya Henriksen. Bila kujali, uhusika hatimaye ukaenda kwa Arnold Schwarzenegger. Henriksen ameonekana kwenye filamu, alicheza kwenye uhusika mdogo wa Detective Hal Vukovich. Henriksen huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama roboti mwenye mwonekano wa binadamu, Bishop, kwenye filamu ya "Aliens" (1986, filamu nyingine ya Cameron) na "Alien 3" (1992). Baadaye kaja kucheza kama Charles Bishop Weyland, mwonekano wa mtu uliotokana na Bishop wa awali, katika "Alien vs. Predator" (2004).