Top 10 similar words or synonyms for akisomea

theolojia    0.793481

alipohitimu    0.756939

kusomea    0.751904

uzamili    0.749987

udaktari    0.749190

ualimu    0.746621

alisomea    0.735970

akifundisha    0.724811

strathmore    0.722914

stashahada    0.715179

Top 30 analogous words or synonyms for akisomea

Article Example
Elizabeth Michael Baade alijiunga na elimu ya msingi katika shule ya Remnant Academy ambapo alimaliza elimu yake ya msingi hapo.Alipata kusoma Perfect Vision High School,St Mary's High School Na Midway Secondary School kwa ajili ya elimu Yake ya sekondari . Baadae alijiunga katika Chuo Cha Utumishi Wa Umma Tanzania (TPSC) akisomea kozi Ya Stashahada Ya Rasilimali watu na utawala (Diploma In Human Resources Management).
Wallah bin Wallah Maisha ya Wallah shuleni hayakuwa mepesi maana babake hakuwa akimpa msaada na mara kwa mara, Wallah alijilipia karo. Alifanya hivi kwa kuchuuza samaki pamoja na kuwanyoa wenzake ili apate pesa. Baada ya shule ya msingi, alijiunga na shule ya seminari ya Nyegezi ambako alikuwa akisomea somo la dini ya Kikristo.
Robert Ouko Kufikia wakati wa kifo chake alikuwa karibu kumaliza Thesis ya shahada ya tatu ambayo alikuwa akisomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Licha ya kujulikana kuwa Dk. Ouko, alikuwa tu na shahada ya honorary ambayo aliipokea mnamo 1971 kutoka Chuo Kikuu cha Kilutheri cha Pacific
Khadija Kopa Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia mwanaharakati wa kisiasa nchini Tanzania. Khadija alikuwa akipenda kuimba tangu akiwa mdogo, akisomea madrasa Zanzibar. Akiwa chuoni (madrasa) alikuwa msomaji mzuri wa qaswida, halafu vilevile alipokuwa Young Pioneer, alikuwa kwenye kikundi cha kwaya.
Wolfgang Amadeus Mozart Huko Mannheim akatokea kumpenda msichana mmoja aliyeitwa Aloysia Weber. Alikuwa na umri wa miaka 16 tu na alikuwa akisomea kuimba. Mozart akataka amchukue kisha aende naye Italia ili amfanye maarufu, lakini baba yake akamwandikia barua kali ya mkwara wa kumtaka aache kufikiria huo upuuzi.
Nancy Sumari Nancy Sumari alizaliwa tar. 7 Agosti mwaka 1986 mkoani Arusha Tanzania, na kupata elimu yake ya msingi mjini Nairobi, Kenya katika shule ya msingi ya Blue Bells. Baadaye kuingia elimu ya Sekondari ya wanawake ya Maasai ya huko huko Nairobi’NBO’ na kuhitimu mwaka 2004 na baadae kujiunga na Chuo Kikuu cha Nairobi akisomea masuala ya Sheria.
Angela Damas Angela alizaliwa mjini Kieve nchini Ukraine. Akahamia Tanzania na baba yake ambaye ni Mjita kabila litokelealo mkoani Mara, katika wiliaya ya Musoma, Tanzania. Angela alisomea Tanzania na kisha akajiunga na masomo ya Chuo Kikuu, wakati anatwaaja taji la Mrembo wa Tanzania alikuwa ndio anaingia mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea masomo ya elimu jamii.
Che Guevara Wakati akisomea utabibu, Che Guevara alizunguka katika nchi mbalimbali za Marekani ya Kusini ambapo alijionea mwenyewe umasikini uliokithiri. Alisikitishwa sana na maisha ya ufukara waliokuwa wakiishi wananchi wengi huku wachache wakiwa wanamiliki mali za nchi hizo. Alifikiria jinsi ya kuweza kubadili hali hii na kuamua kuwa njia pekee ya kuondoa umasikini na ukandamizaji ni mapinduzi. Aliamua kusoma kwa undani falsafa za Karl Marx na baada ya hapo alijihusisha na harakati za kisoshalisti nchini Guatemala chini ya rais Jacobo Arbenzi Guzmán.
Wilbrod Peter Slaa Baada ya safari ndefu ya kuusaka utumishi Slaa alipadrishwa (alipewa upadri rasmi) mwaka 1977 na baada ya utumishi wa miaka michache alijiunga na chuo kikuu cha Kipapa cha Urbaniana nchini Italia akisomea udaktari wa sheria za Kanisa ulio maarufu kama J.C.D. (Juris Canonic Doctor) kati ya mwaka 1979 na 1981. Katika mfumo wa Kanisa Katoliki J.C.D ndiyo shahada ya juu katika masomo ya sheria za Kanisa.
Ernesto Sanga Na ilipofika mwaka 2000 ndipo ernesto alijiunga tena na shule ya sekondari ya montfort iliyopo katika wilaya ya mbarali nakuweza endelea na masomo ya sekondari hadi mnamo mwaka 2003 na ndipo ernesto alipofanikiwa kumaliza masomo ya sekondari katika shule hiyo, na ilipofika mwaka 2004 aliendelea tena na masomo katika shule ya sekondari Tegeta iliyopo katika mkoa wa Dar es Salaam wilayani Kinondoni kwa ajiri ya masomo ya 'A' Level na alikuwa akisomea mchepuo wa EGM yaani alichukuwa masomo ya Uchumi, Jiografia na Hesabu na ilipofika mwaka 2006 ndipo alipomaliza masomo yake ya A level katika shule ya Tegeta nakuweza kufahulu nakufanikiwa kujiunga katika chuo kikuu cha Dar es Salaam katika kampasi yake ya UCLAS mnamo mwaka 2006 ambapo hiyo kampasi kwa sasa imeteuliwa kuwa chuo kikuu cha Ardhi na ilipofika mnamo mwaka Agosti 2010 ndipo ernesto sanga alipofanikiwa kuhitimu masomo yake akiwa na miaka 24.