Top 10 similar words or synonyms for akamaliza

anyango    0.892189

paarl    0.891071

alihifadhi    0.888903

darbhanga    0.888342

mwendwa    0.887314

uru    0.885499

jaisalmer    0.885441

szolnok    0.881133

challenger    0.879940

ndambuki    0.879829

Top 30 analogous words or synonyms for akamaliza

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Immanuel Kant 1754 alirudi kwenye chuo kikuu akamaliza masomo yake. Tangu 1755 alikuwa mwalimu na tangu 1870 profesa kamili kwenye chuo kikuu cha Königsberg.
Gideon Byamugisha Alizaliwa tar. 29 Agosti 1959 Buranga Ndorwa, Wilaya ya Kabale, Uganda wa Magharibi akasoma ualimu kwenye Chuo Kikuu cha Makerere akamaliza kwa digrii mwaka 1985.
ODM-Kenya Kalonzo Musyoka alipata asilimia 9.5 za kura katika uchaguzi wa rais akamaliza nafasi ya tatu. Alitangaza atakuwa tayari kuingia katika ushirikiano na rais atakayechaguliwa.
Charity Ngilu 1997 aliondoka katika DP akiandaa kugombea urais yeye mwenyewe akiwa mwanamke wa kwanza nchini wa kugombea urais. Akajiunga na chama cha SDP akamaliza nafasi ya tano.
Rama Yade Alisoma kwenye chuo cha Institut d'études politiques akamaliza kwa digrii ya diploma. Ajira yake ilipatikana katika utawala wa bunge la senati ya Ufaransa. Akajiunga na siasa ya chama cha UMP cha rais Jaques Chirac.
Vasili Vereshchagin Alikuwa mtoto wa mkulima aliyepata elimu kwenye shule ya kijeshi akandelea kuwa afisa wa jeshi la Urusi. Aliondoka jeshini akawa mwanafunzi wa uchoraji huko Sankt Peterburg akamaliza masomo yake kwenye Chuo cha Sanaa mjini Paris.
Wanjiru Kihoro Alizaliwa Nyeri, Kenya akamaliza elimu ya sekondari kwenye Kenya High School huko Nairobi. Kihoro alisoma uchumi kwenye Columbia University, New York. Akachukua MA ya Development Studies na PhD kwenye Chuo kikuu cha Leeds (Uingereza) wakati wa miaka ya 1980.
Boutros Boutros-Ghali Alizaliwa katika familia ya Wakristo Wakopti mjini Kairo. Babu yake alikuwa waziri mkuu wa Misri. Baada ya shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha Kairo akamaliza 1946 akaendelea kuchukua shahada ya udaktari huko Ufaransa.
Mehmed II Mehmed II (pia: Mehmed Fatih; 1 Aprili 1430 – 3 Mei 1481) alikuwa Sultani wa Milki ya Osmani. Alijulikana hasa kwa sababu alivamia mji wa Konstantinopoli mwaka 1453 akamaliza milki ya Bizanti.
Maurice Michael Otunga Maurice alibatizwa kwa umri wa miaka 12 akamaliza masomo yake ya shule Mangu High School. Baadaye akajiunga na seminari ya Kakamega akaendelea masomo ya upadre kwenye semianri ya Gaba (Kampala - Uganda). Masomio ya juu akafuata huko Roma kwenye chuo kikuu cha Papa alipopadrishwa mwaka 1950 pamoja na kupokea cheo cha daktari.