Top 10 similar words or synonyms for aepyceros

melampus    0.937694

petersi    0.923552

mchungwa    0.909230

mealybug    0.905124

whitefly    0.904222

eudorcas    0.903713

planococcus    0.903224

dama    0.899381

contortus    0.896947

pisum    0.895398

Top 30 analogous words or synonyms for aepyceros

Article Example
Swala pala Swala pala au swalapala ("Aepyceros melampus" Kigiriki αιπος, "aipos" "juu" κερος, "ceros" "pembe" + "melas" "nyeusi" "pous" "mguu") ni swala ambaye si mkubwa sana kutoka Afrika. Jina Impala ambalo ni jina la swala pala kwa Kiingereza linatoka kutoka lugha ya Kizulu na linamaanisha "Swara". Wao hupatikana katika savana "misitu" nene nchini Kenya, Tanzania, Swaziland, Msumbiji, Namibia ya kaskazini, Botswana, Zambia, Zimbabwe, kusini mwa Angola, kaskazini mashariki mwa Afrika Kusini na Uganda. Swala pala wa kawaida wanaweza kupatikana katika idadi ya hadi 1,600,000 barani Afrika.