Top 10 similar words or synonyms for academy

award    0.840601

awards    0.828304

emmy    0.823488

globe    0.811332

best    0.794290

festival    0.787577

achievement    0.769473

guild    0.756892

choice    0.756509

prize    0.756108

Top 30 analogous words or synonyms for academy

Article Example
Accra Academy Accra Academy (hutamkwa / [ákrə ə káddəmee] /) ni shule ya upili katika eneo la Greater Accra Ghana. Shule hufunza maswala mbalimbali katika Biashara, Sayansi, Sanaa na Mafunzo ya ujuzi wa kuongoza kwa tuzo ya shahada ya Shule ya Upili ya Afrika Magharibi.
Accra Academy ACASMA inasimamia shirika isiyo ya kiserikali lililoundwa na Accra Academy na shule ya upili ya St Marys Junior. Kabla ya ushirikiano huu, Accra Academy ilikuwa na uhusiano na Shule ya Sekondari ya wasichana ya Accra na shule ya upili ya St Marys Junior ilikuwa na uhusiano na shule ya upili ya St Thomas Aquinas.
Accra Academy Accra Academy imetoa maarufu wengi. Baadhi Hasa ni pamoja na Mkuu wa Jimbo Lieutenant General JA Ankrah. Wasemaji wa Bunge; Rt. Bwana Daniel Francis Annan na Rt. Mhe Petro Ala Adjetey. Jaji wakuu; FK Justice Ubwana wake Apaloo. Waamuzi wa mahakama kuu; Jaji GC Mills-Odoi, Jaji G. Koranteng-Addo, Jaji Vincent Cyril Richard Author Charles (VCRAC) Crabbe, Jaji NYB Adade na Jaji George Lamptey.Viongozi wa jadi; Nana Wereko Ampem II (Bwana EN Omaboe), Nana Akuoko Sarpong na Neeyi Ghartey. "Wanaspoti na wasimamizi wa michezo;" Bwana Adjin-Tetteh, BwanaJK Aduakwa, Bwana.Ohene Djan, Mr.H.P Nyemitei, Bwana Jelicoe Quaye, Mheshimiwa EJCQuaye, BwanaJK Quartey, Bwana Leo Myles Mills, Bwana.Asamoah Gyan na Mr.Baffour Gyan. Watumishi wa umma; Kanali Thompson, Dkt Bruce Konuah, Bw Gilbert Boahene, Bwana Nathan Quao, Bw Harry Dodoo, Mheshimiwa K. Richardson, Kapteni Attuquayefio. Wauguzi; Dkt Mustapha A. Ezzeddine, DktArchampong, Dr S. Gepi Attee, Dr C. O Quarcoopome.
Accra Academy Chini ni orodha ya Walimu wakuu wa Accra Academy
Accra Academy Nchini Ghana, Accra Academy imekubaliwa na Wizara ya Elimu kama "jamii A" ya shule na kwa hivyo, shule ina idadi ya vifaa vya kati ambayo ni; Ukumbi wa Makutano, Uwanja wa mchezo wa mpira wa vikapu, Jumba la Kulala, Duka la Vitabu, mkahawa, kliniki, mahali pa ushawishi, ukumbi wa kulia, uwanja wa kubarizi, jumba la mazoezi, jumba la Habari na Mawasiliano ya kiteknolojia, maktaba, Maabara ya Sayansi ya; Fizikia, jumba la usimamizi, madarassa ya; Biashara, Sanaa, Sayansi na Ufundi.
Accra Academy Kuna Majumba ya makazi manne katika Accra Academy, tatu ambayo yalipewa majina ya waanzilishi wa shule, isipokuwa Dkt KG Konuah, na jumba la nne lilipewa jina la Bi Ellen Buckle. Kwa hivyo, majumba hayo manne yanaitwa; Alema, Awuletey, Ellen, Halm Addo
Accra Academy Wakati wa 1970, inasemekana kulikuwa na mgomo wa waalimu nchini. Baadhi ya wanafunzi katika Academy ya Accra ambao walikuwa na uwezo wa kujifunza mitaala ya shule zao wenyewe, waliwafunza wengine bila malipo katika vyuo huko Accra Academy na shule ya upili ya St Marys Junior. Onyesho hili la ukarimu kutoka hawa wanafunzi wa Accra Academy ulishinda mara moja Pongezi la wafanyakazi na wanafunzi wote wa shule ya upili ya St Mary Senior na matokeo yake yalikuwa ubunifu wa Acasma.
Accra Academy Baadhi ya Msingi ya ACASMA ni kama; ACASMA Chuo Kikuu cha Ghana, Chuo Kikuu cha ACASMA Cape Coast, Chuo Kikuu cha Kwame Nkrumah ACASMA cha Sayansi na Teknolojia.
Accra Academy Wanauchumi; Bwana Samuel Appah Donkor, Dkt Frank Baffoe. Wanasiasa; Dkt.Ebenezer Ako Adjei, Bwana Samuel Odoi Sykes, BwanaKwaku BOATENG, Hon.Paul BOATENG, Hon.Niyi bi Ayibonte. Wakleri; Rt. Rev FWB Thompson, Rev WAA Okai, Askofu George Adjeiman. Mafisa wa kijeshi; Brigadier Utuka, Brigadier Crabbe. "Watu katika runinga;" oko Dagadu, Atitsogbui, Mohammed Alhassan, Israel Laryea, Richardson Doe, James Maculley, Ben Ephson, Earl Ankrah, Kwateboi Owoo, Kwei Nii Amasah, Charles Benoni Okine, Ebenezer Okrah, Boahene Richard Asamoah na Akakpo Akwasi Sarpong. Wafanyikazi wa benki; Bwana Anane Yao, BwanaJoseph Kitson Clel na Mheshimiwa John Awulu Lartey. Wasimamizi wa Chuo Kikuu; Bwana KE Senanu, Mheshimiwa Oracca-Tetteh, Mheshimiwa Odoom, BwanaRaymond Etornam Agbeame, Mheshimiwa Yaw Twumasi, Bwana Addo-Fenning, Mheshimiwa Emmanuel Quartey Papafio. Wasomi wa Ghana; Bwana Lebrecht Fifi Hesse, Dkt Kwaku Aning, Prof Samuel Gyasi. Wafanyabiashara; Bwana Ernest Kwaku Datey Ayeh
Accra Academy Wanafunzi katika Accra Academi wanashiriki katika shughuli mitaala ya ziada kupitia wanachama wao katika vilabu na mashirika mbalimbali ya shule, kama vile;