Top 10 similar words or synonyms for école

normale    0.884811

supérieure    0.872146

institut    0.850406

supérieur    0.834951

goethe    0.811996

motheco    0.801266

mit    0.800058

carnegie    0.798950

université    0.782631

opencourseware    0.779664

Top 30 analogous words or synonyms for école

Article Example
Émile Durkheim Alisoma kwenye chuo cha École Normale Supérieure.
N'Djamena Taasisi za elimu ya juu (École Supérieure) :
Raymond Aaron Aron alizaliwa katika jiji la Paris, mzazi wake mmoja akiwa ni Mwanasheria, alisoma katika shule ya École Normale Supérieure, ambapo hapo alikutana na Jean-Paul Sartre, ambaye alikuja kuwa rafiki yake wa maisha na mpinzani wake mkubwa katika maswala ya elimu .. Aron alishika nafasi ya kwanza katika mtihani wa Filosofia mnamo mwaka 1928, mtihani ambao rafiki yake wa karibu Sartre alishindwa kufaulu. na hatimaye mwaka 1930, alifanikiwa kutunukiwa shahada ya udaktari katika Historia ya Filosofia kutoka katika chuo cha École Normale Supérieure.
John Singer Sargent John Singer Sargent (12 Januari 1856 - 22 Januari 1925) alikuwa mchoraji kutoka Marekani. Alizaliwa katika Italia na alikufa katika London, Uingereza. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris.
André-Marie Ampère Baada ya kifo cha mke wake mwaka 1803 alihamia kufundisha kwenye chuo cha École Polytechnique mjini Paris. Huko alipewa nafasi ya profesa mwaka 1809 ingawa hakuwahi kusoma shuleni wala chuoni wala kuwa na digrii yoyote.
Jean-Auguste-Dominique Ingres Jean-Auguste-Dominique Ingres (29 Agosti 1780 - 14 Januari 1867) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Légion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).
Felix Eboue Baada ya kufuzu katika masomo ya kisheria kutoka École Coloniale,Paris, yeye alifanya kazi katika Oubangui-chari kwa miaka ishirini na kisha huko Martinique. Katika mwaka wa 1936 alifanywa kuwa kiongozi wa mkoa wa Guadeloupe, na akawa ntu mweusi wa kwanza kuteuliwa kwa cheo cha juu hivo popote katika makoloni ya Ufaransa.
Émile Friant Émile Friant (16 Aprili, 1863 - 6 Novemba, 1932) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Légion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).
Louis Althusser Louis Pierre Althusser (matamshi ya Kifaransa kwa IPA: altyˈsɛʁ; 16 Oktoba 1918 – 22 Oktoba 1990) alikuwa ni mwanafalsafa wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa nchini Algeria na kusoma katika chuo cha École Normale Supérieure kilichopo katika jiji la Paris lililopo nchini Ufaransa, ambapo hatimaye alikuwa Mwanafilosofia.
Paulo Ahyi Paulo Ahyi alizaliwa mwaka 1930 huko Togo, ambayo ilikuwa inajulikana kama French Togoland wakati huo. Alifuzu kutoka école nationale supérieure des beaux-Arts huko Paris mwaka 1959 na kurejea Togo. Aliunda bendera ya Togo wakati alipokuwa akifanya kazi nyingine ya kisasa.